ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kuna pembe tanga na pembe kenya na pembe rwanda lakini wamiliki ni tofautMmiliki wa huu unga ni nani?
Mbona naona rwanda Mara Kenya?
kuna pembe tanga na pembe kenya na pembe rwanda lakini wamiliki ni tofautMmiliki wa huu unga ni nani?
Mbona naona rwanda Mara Kenya?
MWARABU MWENZAKO...aRichest person in East Africa and youngest billionaire in AfricaView attachment 697907
serengeti ni subsidiary ya EABL ..pesa tunakula hapa ruaraka thika roadTumemaliza na ninyi kihusu beer. So inabidi mfunge madomo yenu. Safari lager, Kilimanjaro na Serengeti zimewahi kuwa beer bora kwenye mashindano ya beer africa.
endelea kujipa matumaini😀😀😀😀😀serengeti ni subsidiary ya EABL ..pesa tunakula hapa ruaraka thika road
he is coming to launch an Album and in order for all Africa to listen to it he does it in Nairobikenyans pls save the date, our boy is coming to take those kenyan money and bring them back home.
kudos diamond.
![]()
![]()
endelea kujipa matumaini😀😀😀😀😀
do you understand the term subsidiary....unajua wewe shopkeeper bila masomo kukuelimisha ni shida
East African Breweries Limited - Serengeti Breweries Ltd
Apart from the ocean nini ingine unatuonyesha hapo? Mibongo ni vichaa
umia taratibu plz naomba maumivu yakushike mos mos😀😀😀😀😀Apart from the ocean nini ingine unatuonyesha hapo? Mibongo ni vichaa
anakuja kuchukua pesa zenu aletete nyumbani naomba usikose kutoa pesa yako japokua huna ardhi😀😀😀😀he is coming to launch an Album and in order for all Africa to listen to it he does it in Nairobi
anakuja kuchukua pesa zenu aletete nyumbani naomba usikose kutoa pesa yako japokua huna ardhi😀😀😀😀
aache kufanya nigeria au south africa huyo kaja kuchukua pesa zenu maana munampenda kuliko uhuru kenyatta 😀😀😀😀😀 na naomba usiache kumpa pesa yako japokua una hali mbaya toa hata 500ksh plz
umeona entrance fee mahali????aache kufanya nigeria au south africa huyo kaja kuchukua pesa zenu maana munampenda kuliko uhuru kenyatta 😀😀😀😀😀 na naomba usiache kumpa pesa yako japokua una hali mbaya toa hata 500ksh plz
why is bakhressa not a billionare kila kitu tz ni Azam