ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
naomba uhakikishe unampa pesa yako we kwa akili unafkiri anakuja bure😀😀😀😀😀umeona entrance fee mahali????
naomba uhakikishe unampa pesa yako we kwa akili unafkiri anakuja bure😀😀😀😀😀umeona entrance fee mahali????
unawazimu wewe rudia tena???? according to my views bakhresa is a richest man in east africa😀😀😀why is bakhressa not a billionare kila kitu tz ni Azam
Jiulize mbona hangelaunch album Dar...youre very poornaomba uhakikishe unampa pesa yako we kwa akili unafkiri anakuja bure😀😀😀😀😀
Then waekee estates za kangemi kama.....mountainview estate,kitusuru estate and some gated community estatesati githurai
uthiru
Ruai
Riruta ni slums....Hahaha.Those places have better buildings than masaki and oysterbay
umepewa the main reason ya album launch Nairobiunawazimu wewe rudia tena???? according to my views bakhresa is a richest man in east africa😀😀😀
anataka pesa za kigeni what we want is foreign money😀😀😀😀😀 naomba mumpe pesa kwa wingi sanaJiulize mbona hangelaunch album Dar...youre very poor
You are poor..no other excuseanataka pesa za kigeni what we want is foreign money😀😀😀😀😀 naomba mumpe pesa kwa wingi sana
nipe mark ya hii picha kua ni dar nasubiria😀😀😀😀😀Dar is Slum..more photos comingView attachment 697987
heheh plz collo mpeni pesa sana at least amalize kujenga ndoto yake tanzania😀😀😀😀😀You are poor..no other excuse
hiyo ni lugha tu ya kibiashara dogo ili siku hiyo mjitokeze kwa wingi kumepelekea pesa.na anajua mtajitokeza wengi kwasababu ya ushamba wenu.he is coming to launch an Album and in order for all Africa to listen to it he does it in Nairobi
anakuja kuchukua pesa zenu aletete nyumbani naomba usikose kutoa pesa yako japokua huna ardhi😀😀😀😀

aache kufanya nigeria au south africa huyo kaja kuchukua pesa zenu maana munampenda kuliko uhuru kenyatta 😀😀😀😀😀 na naomba usiache kumpa pesa yako japokua una hali mbaya toa hata 500ksh plz

acha aje achukue pesa ya kenya.pesa ya kenya ina dhamani kubwa ukivuka nayo boda.Jiulize mbona hangelaunch album Dar...youre very poor

Huyu yuko kibiashara zaidi ndo maana hiyo album itaenda kuzinduliwa hadi Marekani karibia majimbo 12.. Hapa Tz hata tumia Nguvu Kubwa maana akiitisha tu watu ni Mafuriko kila MTU atakuja.. Ni mbinu yake ya Kibiashara kuiweka Tz ya Mwisho.. He knows what he's doingumepewa the main reason ya album launch Nairobi
Mbona unatuma picha za kitambo sana, the first picture ni ya 2000, 18 years ago. Hakuna uap, britam ama kcb building upperhill.
Hahaha.......hata hatujapost nusu ya estates......watajua hawajuiThen waekee estates za kangemi kama.....mountainview estate,kitusuru estate and some gated community estates
unadhani ukisema 40 km ndio tutashtuka.....Hahaha.....ngong to juja is 100 km apart na hatupigi keleleKijichi over 40km from CBD
View attachment 697910
heheh maumivu mos mos msee😀😀😀😀😀😀unadhani ukisema 40 km ndio tutashtuka.....Hahaha.....ngong to juja is 100 km apart na hatupigi kelele
Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app