Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo isikusumbue roho...hata nyinyi bomoeni hizo dream houses zenu mjenge decent houses. Hakuna atakaewauliza jinsi mtazitumia
Uhahahah tena kwa sheria zenu zilivo mbovu za ardhi kuzitoa hzo slum nairobi zitachukua 300 yrs, 😀😀😀😀😀😀
 
Even IEBC register says there are only 78,000 registered voters in kibera. I wonder how out of 2.5 million people only less than 100,000 have registered as voters. as I always say, common sense is not common to some people
So watoto under 18 wanapiga kura????
Au wale thugs na hooligans wanaoishi kibera unafkiri wanamuda na hzo kura usifkiri kila mtu anaakili kma zakwako😀😀😀😀

Kuwa registered kwenye kura ni hiari sio lazima
 
81f59227f6392ff46b80d3c81bff2de8.jpg

Hii ni sehemu gani ya jiji nan anapafaham...wadau
Hapo ni karibu na salender bridge near ubalozi wa ufaransa
Kushoto after junction ni bank ya stanbic
81f59227f6392ff46b80d3c81bff2de8.jpg

Hii ni sehemu gani ya jiji nan anapafaham...wadau
 
Hapa utangoja sana comments zao. Wanapita kana kwamba hawaoni hizo picha za dream houses. Cha ajabu ni kwamba 80%-90% of Dar es salaam looks exactly like these pictures above. Hata kisumu iko na mitaa bora kushinda hizo changaduo za Dar. Cha ajabu ni kwamba utaona wakileta picha za kibera forgetting that they have a bigger and worse version of kibera in Dar is slum

1200 km sq of slummy shack shanties
 
Mtasubiri sana, Tanzania hatuna slums, hizo picha ni zenu msitake kutuharibia CV yetu tuliyoijenga kuanzia our indepence day ya kupambana poor houses. Tanzania Hoyeeeeee
You know what joto, this self denial is one of the things that have kept you in ldc 50 years since you became an indepent state. You keep lieing to yourselves that you don't have pressing problems that need your government's attention. Instead of accepting you have a problem and chart a way forward on how to tackle it, you deny that such a problem doesn't exist and that's why mko chini kimaendeleo. sisi gulo na kibera na mitaa zingine za mbovu lakini tunakubali zipo na tunaendelea kuziboresha like we've shown in many pictures in this forum. I am so disappointed that you deny those are not pictures taken from Dar while one of them even shows a brt road passing through it! Continue living in denial. Ooh sorry...na muendelee kuleta picha za kibera
 
Tofaut ya newyork na dar ni

Newyork is developed city

Nai na dar ni developing city

Akili tu sio nguvu😀😀😀😀

meanwhile let me show you how a city should look like ichoboy
View attachment 525123 View attachment 525124 View attachment 525125 View attachment 525126 View attachment 525127 View attachment 525128 View attachment 525129 View attachment 525130 View attachment 525131 View attachment 525132 View attachment 525133 View attachment 525135 View attachment 525136

dont ask me "mbona hawajapiga rangi" just assume hatuna pesa ya kutosha kununua rangi.
a good city should have a matching LOGO too (i being a designer i cant leave that behind)
View attachment 525138 View attachment 525137

and a superb CITY HEADQUARTERS-CITY HALL

View attachment 525139

UNDER AN AMAZING GOVERNMENT BEING RUN FROM A STATE OF THE ART STATE HOUSEView attachment 525140 View attachment 525145

ALL THESE MAKES UP A GREAT REPUBLIC WHICH IS ALSO REPRESENTED BY A "LOGO". HOWEVER THE LOGO IN THIS CASE IS CONSIDERED AS THE COAT OF ARMSView attachment 525142
 
pole sana kijana. ukishakua utayaona

😀😀 kilaza kabisa ww
 
Yes to them that is a city. And they proudly call those shanties dream houses! Kuwa mtanzania ni laana tupu
hapo zanzibar tafuteni picha nyingine yani hahahha
😀😀😀😀😀😀😀
 
yani mtu anaishi kwenye mabanda ya nguruwe wallah kwa dar sijawah ona duhhh😀😀😀😀😀
A37F9442-90E0-47CB-AA5F-FA785CCAA11D.jpeg
 
hapo zanzibar tafuteni picha nyingine yani hahahha
😀😀😀😀😀😀😀
Is Zanzibar part of kenya? Halafu Zanzibar iko na brt? coz one of the pictures has a brt route passing through it
 
Hehehe kumbe Nairobi naweza kuifanya my jogging workout na nikaizunguka yote hata bila kutoka jasho?
inaingia mara tatu kwa dar alaf wanapanua midomo hapa😀😀😀😀😀 leo wanakazi ya kutafuta picha mbaya za dar unfortunately wanaleta picha nchi zingine
 
Back
Top Bottom