Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam
9052323814e6848d901faa1171669eef.jpg
 
Nimecheka sana! 😀😀😀 Itakuwa soo, jamaa walivyo wezi! 😀😀😀
tena wasije kujaribu wamewekwa Jwtz ndugu mgeni yoyote atakeingia anapokea chuma tu hakuna kuangaliana usoni na wataweka high tech equipments each corner

haiwezekani serekali ikusanye kodi ya 38m usd wakat uwezekano wakukusanya zaidi ya 200m usd upo

sasa wakadanganye tena dunia kua tanzanite inatoka kenya😛😛😛😛
 
Kwahiyo wataweka vitu vya maana kwenye kila pande?? itakua bomba sana. Wawape tu shaba maana amana jinsi!
 
For the first time naona umeongea point...Yes ukishindwa uchumi basi ata na sifa ya usasa ukose?haiwesekani the fact will remain dar CBD ni more impressive than urs...kazi kubwa ni kutengeneza suburb zetu ziweclassic yaani kusiwe na sababu mtu kutoka kimara afuate huduma za bank Posta...

Tayari tumenza na Kuna kipindi nilikaa Kijitonyama yani pale zipo Bank ,makao makuu ya mitandao ya simu but bado vipo vitu tu vitakufanya uende mjini Kumaliza taste ya jiji. ...tukiweza tufanya hayo Nadhan tutaweza kua na miji yakujivunia ukanda huu
Old is always Gold, we will never touch the old part just check cities like London,Paris,Rome... they attract alot of tourist because of that... In many year to come ppl will be travelling across the globe just to see Nairobi...

Dar CBD skyline is rising but shida ni miundo binu kama drainage,electric poles, beautification of streets, Recreation facilities... the city is missing something.

Also as tou say there is alot to do in city suburbs.

Chech Nairobi CBD below, you will hardly see hanging power lines, beautiful greenery...
26297-Nairobi.jpg
2279818784_12593dfeb3.jpg
Nairobi-CBD-after-elections.jpg
images (10).jpeg
images (11).jpeg
2083620769_db744dc274_o.jpg
 
There is civil war in Syria, doesn't mean that all parts of Syria, there some places in Syria just are as calm as Dar es Salaam, they just get news on Televisions screens.

Investors and Multinational companies are looking for business opportunities and other factors like financial services, air transport connectivities, percentage of population with disposable income, business policies of the country, climate condition and others.

South Africa is the second biggest economy in Africa after Nigeria, but it attracts many multinational companies than Nigeria because of those factors, but South Africa is the most skewed economy than Nigeria because of the apartheid economy policies, Kenya is the same, only few enjoy and participate in the economy, majority are watching.

Even Nigerian themselves will never want to compare them selves with S.A because S.A iko ligi ingine...

Regadless of the inequalities maltinationals coming to acountry has aripple effect to the economy.. Currently we have over 2k employess in my organisation, I was working for alocal company intially before moving to where I work currently(Multinational compan) personally my life has changed. My income when up over 5 times not counting the experience I have gained...

Just open your eyes wide... Inquality will come to Tz very soon.. Check the big Communist countries like Russia and China after adopting capitalism Inequality is going up like crazy...
 
Old is always Gold, we will never touch the old part just check cities like London,Paris,Rome... they attract alot of tourist because of that... In many year to come ppl will be travelling across the globe just to see Nairobi...

Dar CBD skyline is rising but shida ni miundo binu kama drainage,electric poles, beautification of streets, Recreation facilities... the city is missing something.

Also as tou say there is alot to do in city suburbs.

Chech Nairobi CBD below, you will hardly see hanging power lines, beautiful greenery... View attachment 697498 View attachment 697499 View attachment 697500 View attachment 697501 View attachment 697502 View attachment 697503
Dar pia kumefanyiwa upgrades kuna maboresho makubwa sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom