Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

damn ive loved this pic
10661189_526766017469788_649222103_n.jpg
withiout make up
0A7D7A05-8D6C-42A2-A2C3-79452F28E55B.jpeg
 
Sijui mbona watanzania hutusumbua sana once we step into their country.........tuusan tuliwakosea nini

Just before Xmas last year was to have a presentation on a short notice in Arusha only to be asked to apply and pay $50 for a business visa at Namanga by Tz fellows. Protested and stormed out,called my hosts to cancel the forum and drove back to Nbo! You wonder what's the essence of EAC! 😵😵
 
A failed state inacharaza a stable LDC state toka kwa uchumi hadi michezo si uliona vile tulitwanga muungano LDC combined kwenye mpira wa soka.
Ni kama LDC inavyoizidi middle income katika kasi ya kukua kwa uchumi 7% vs 4.4%, LDC inazalisha chakula cha kulisha middle income, LDC inajenga electric train kwa pesa yake wakati middle income ilikopa na kujenga old fashion diesel engine
 
inaitwa gari moshi😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom