Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wakenya niwanaweza kuuza maneno ukadhan wako level moja na Russia HaHaha kumbe wanavibanda umiza wamevibatiza jina airport
 
Yani wakenya niwanaweza kuuza maneno ukadhan wako level moja na Russia HaHaha kumbe wanavibanda umiza wamevibatiza jina airport
hizi si ni airpot au naota?😀😀😀😀😀
DNobghNU8AE1Taf.jpg
50072A55-A57F-4F8E-9D22-9DF37C67004C-cx0-cy1-cw0-w1023-r1-s.jpg
AAEAAQAAAAAAAA0fAAAAJDI5ODFhMmRjLThiM2EtNGMzZC05Y2VkLWM0NzBjNTNjNThjMg.jpg
8148630782_c6abaa269b_b.jpg
Moi_Airport_Mombasa_2010.jpg

1304876.jpg
 
Umeishiwa sasa inabadili rangi tu tuone vibaraza..Hahaha
 
Serikali yajenga meli mpya ya abiria & mizigo ambapo ujenzi wake umegharimu Tsh. Bil 9 & itatoa huduma kwa wananchi waishio kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa-NW wa Uchukuzi & Mawasiliano,Mhe. Eng. Atashasta Nditiye Meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 200 pamoja & mizigo tani 200

DWP0WlPWkAASaYD.jpg

DWP0Wk_WAAA33at.jpg

DWP0WlPW0AAl0zm.jpg
 
Kutumia lugha ya matusi haikumake ukae mwerevu it makes you look immature
Haya turudi kwenye mada, nimesema if it's about inequalities even the US(the biggest economy) is doing badly
Record inequality: The top 1% controls 38.6% of America's wealth

20 People Now Own As Much Wealth as Half of All Americans

I mean it's really dumb kuleta data ya Kenya hapa bila kuleta ya Tanzania for comparison kisha unacelebrate ati Kenya inafanya vibaya

Kutumia lugha ya matusi haikumake ukae mwerevu it makes you look immature
Haya turudi kwenye mada, nimesema if it's about inequalities even the US(the biggest economy) is doing badly
Record inequality: The top 1% controls 38.6% of America's wealth
tanzania is doing good almost every sector lakin kenya munapumulia ICU kila sector sasa hapo bado hujaelewa nn au tuanze kushika chaki na ubao😀😀
 
Kuona ujinga wenyu umefika wapi???

Check online and see how kenyans talk positive about Tz because they have no idea of the hate you guys have towards Kenyans.. On the other hand Tz hate towards kenyans is everywhere
hatuwez kusema ukweli wakat ni uongo yani tusifie kenya wakat kila sector ina grow negative 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom