kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,218
Na mipango miji hapo ndo walipotuacha. Mji wao umepangwa vizuri.Kwa barabara, kwa kiasi mko vizuri... Always we give you credits here![]()
Na mipango miji hapo ndo walipotuacha. Mji wao umepangwa vizuri.Kwa barabara, kwa kiasi mko vizuri... Always we give you credits here![]()
Lodwar airstrip is used to fly tourists to Turkana. It has daily flights from nairobi and Eldoret. It's one among hundreds of airstrips in kenya and we call it airstrip.
Y'all call your mabati house which can me mostaken for a mismanaged public school an "International Airport"
![]()
![]()
![]()
I know I knew,poor leeIt's an expression. It doesn't necessarily mean wewe ni fukara as in financially unstable.
Kumbe ushajua haha.We cant trust you hiyo ni airport
True talk bruh.Na mipango miji hapo ndo walipotuacha. Mji wao umepangwa vizuri.
TURUKANA AIRPORT😀😀😀View attachment 697097 THE TERMINAL BUILDING OF TURUKANA AIRPORT😀😀😀😀😱😱View attachment 697101 View attachment 697099 View attachment 697100 View attachment 697102
Hizi rahana mlizipata wapi??




Jay hubwata sana kumbe nanyi mnamiozo...Picha kama Iyo ilitamba miaka ya 1980 sio leo hahaha old city, concrete tupu
Kama wanavumilia si wahamie hio nchi yenu ya umaskini basi.Kiukweli wazungu huvumilia kuishi Kenya
Post old city yenu tuone.Picha kama Iyo ilitamba miaka ya 1980 sio leo hahaha old city, concrete tupu
kuna tofauti kati ya airport na airstrip...elewa hilo bro...airstrip tunazo more than 100Jay hubwata sana kumbe nanyi mnamiozo...
Tangazeni citizen tv kila siku mlete na tangazo tbcTrue talk bruh.
watangazie na wenzako wapate kusikia
Hahaha vibanda umiza sio...yani nyie wakenya mkawadanganye Nigeria. ..kuna tofauti kati ya airport na airstrip...elewa hilo bro...airstrip tunazo more than 100
nikileta picha za mwanza, kigoma airport usilalamike bro😀😀😀😀Hahaha vibanda umiza sio...yani nyie wakenya mkawadanganye Nigeria. ..
poor you. kazi kulialia tuTangazeni citizen tv kila siku mlete na tangazo tbc
naona leo unawashobokea Wanaijo sana sana!?!?!?Hahaha vibanda umiza sio...yani nyie wakenya mkawadanganye Nigeria. ..