tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Yes Nilikua sahihi...Kwa hio pic ya kwanza hilo jumba kati kati is one of the oldest buildings in nairobi if not the oldest. It was built in 1913 imekua preserved sai ni museum
Yes Nilikua sahihi...Kwa hio pic ya kwanza hilo jumba kati kati is one of the oldest buildings in nairobi if not the oldest. It was built in 1913 imekua preserved sai ni museum
Serikal ilipoteza mapato mengi kusomesha hii ng'ombe lakin bado katoka mweupekumbe uko sawa kutunga mashairi Susan!?!? aisee hapa hata Prof. J hatoshi
hahahahahahaaa.... hata mafumbo pia umebobea aiseeSerikal ilipoteza mapato mengi kusomesha hii ng'ombe lakin bado katoka mweupe
My point exactly Tz tourism is centred in two Cities the rest wanapata bakshishi tuu.Only Arusha and Zanzibar.?,shida yenu mlikaririshwa na mababu zenu kuhusu Tz,,na kwa sababu hampo tayari kufahamu ukweli kuhusu Tz endeleeni kukariri hivyo hivyo
Kwa taarifa yako Tz utalii umetamalaki karibu kila kona ya nchi japo idadi ya wataliii haiwezi kuwa same level na hizo sehemu ulizotaja,,kwa uchache tu kuna LUSHOTO,BAGAMOYO,MOSHI,MAFIA ISLAND,KILWA,IRINGA,RUKWA,MOROGORO na hata KIGOMA kwenye wanyama jamii ya SOKWE
Bahati mbaya sana (bahati nzuri kwa Kenya) ni kwamba Tz tulichelewa sana kutangaza vivutio vyetu na pia hatukuwa na miunfombinu mizuri ya utalii,,lakini kwa miaka ya karibuni tumerekebisha hayo mapungufu tena labda ni kwa 25% only ya inavyotakiwa lakini mmeanza kuwashwa (Muuliza Waziri wako wa utalii juzi alivyokuwa anajitekenya na kulia mwenyewe)
Mind u,,gharama za utalii kwa Tz zipo juu compared to Kenya lakini bado watalii wanamiminika kwetu kama mvua
Na kwa mikakati pamoja na projects zinazoendelea forget about overtaking Tz kwa upande wa Utalii.Ukanda wa kusini wenye vivutio lukuki ndo kwanza tunauamsha,,kwa tafsiri nyingine ni kwamba tayari kwa kutumia Arusha na Zanzibar tu (kama ulivyodai) tayari tushawanyea sasa itakuwa vp kama hayo maeneo mengine niliyokutajia ambayo bado ni machache kulinganisha na maeneo yenye vivutio tuliyonayo yakiwa fully utilized kwa kuyatangaza na kuimarisha miundombinu ya utalii (utekelezaji wa hayo umeanza)
Kwenye sekta ya utalii nyie sio size yetu .!
Unfortunately nearly all your GDP is owned by only 10,000 people, and you are celebrating from morning to midnight everyday that you have bigger GDP. Today you are talking different version of distribution of tourism just because Tanzania has defeated Kenya hands down on tourism. stupid Kenyans from failed state.My point exactly Tz tourism is centred in two Cities the rest wanapata bakshishi tuu.
In kenya it is so distributed across, ukiskia waziri Balala akizungumza alisema pwani yakenya imelegea kutengeza new resorts but bush resorts are doing good business..
For your info no Kenyan father or grandfather discusses about Tz... We careless for Tz and it's business while tanzanians have sleepless nights about Kenya
Ni hasara Kwa wazazi wake kuna msemo waswahili wanasema "Wazazi wameuza nguruwe ili wampeleke nguruwe mwingine shuleni" ndio hawa!Serikal ilipoteza mapato mengi kusomesha hii ng'ombe lakin bado katoka mweupe
Ni hasara Kwa wazazi wake kuna msemo waswahili wanasema "Wazazi wameuza nguruwe ili wampeleke nguruwe mwingine shuleni" ndio hawa!






Hali Sio poawatanzania wenzangu tunaenda wapi![]()
![]()
![]()
Nacheka japo na huzuni![]()
This is just a pedestrian comment with no facts to back itUnfortunately nearly all your GDP is owned by only 10,000 people, and you are celebrating from morning to midnight everyday that you have bigger GDP. Today you are talking different version of distribution of tourism just because Tanzania has defeated Kenya hands down on tourism. stupid Kenyans from failed state.
8,300 super-wealthy control two-thirds of Kenya’s economyThis is just a pedestrian comment with no facts to back it

Imezeeka kama underwear yako ile mojaNai imezeeka vilivyo...
Mzee kadoda11, 2020 tukiongea mambo na nuclear energy, charging stations ya electric cars, MRT, space exploration (launching satellite) nitakubali lakini tukiongea kuzindua flyover nitakataa.
Ni kama juzi mkituaibisha ati mna launch lift.
![]()
![]()
![]()
Kwani hamchoki kujiaibisha?
Wewe bila shaka kichwani una debe tupu kwanza aliekwambia watalii wanakuja mikoa miwili tanzania ni nani, ongea kama mtu msomi so watalii wanaokwenda selous au ruaha au rubondo hao sio watalii ni maiti???😀😀😀My point exactly Tz tourism is centred in two Cities the rest wanapata bakshishi tuu.
In kenya it is so distributed across, ukiskia waziri Balala akizungumza alisema pwani yakenya imelegea kutengeza new resorts but bush resorts are doing good business..
For your info no Kenyan father or grandfather discusses about Tz... We careless for Tz and it's business while tanzanians have sleepless nights about Kenya
Imezeeka kama underwear yako ile moja
Kisa tanzania kuwapumulia kisogoni kwenye utalii sasa wanatafuta mbinu za kujitoa kwenye kichapo wao wanafkiri ni utalii hajui kama sector zote tunawachapa fimbo tuUnfortunately nearly all your GDP is owned by only 10,000 people, and you are celebrating from morning to midnight everyday that you have bigger GDP. Today you are talking different version of distribution of tourism just because Tanzania has defeated Kenya hands down on tourism. stupid Kenyans from failed state.
Zanzibar is not part of tanganyika......there has been weeklong protests for independence....Hahaha.wala urojo washikilie vivyo hivyo..........
Mombasa yenyewe inahemesha Darislum kijizanzibar tupatie malindi