Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikia nikwambie Serena Hotel ya TZ inamiĺikiwa na wa Thaïland wakati ya Uganda inamilikiwa na Agha Khan pamoja Pension Fund. Kitendo chakuamua kutumia jina moja huwa nikutengeneza link na wateja. Hotel nyingi zina share majina duniani huku zikimilikiwa na watu tofauti ili kuongeza trust ya wateja
Screenshot_20180217-131854.png
 
Sikia nikwambie Serena Hotel ya TZ inamiĺikiwa na wa Thaïland wakati ya Uganda inamilikiwa na Sudhir Rupari. Kitendo chakuamua kutumia jina moja huwa nikutengeneza link na wateja. Hotel nyingi zina share majina duniani huku zikimilikiwa na watu tofauti ili kuongeza trust ya wateja
sasa unataka niamini maneno yako au?
 
Unaelewa mambo na ratio of this to that? We uliachia shule darasa la ngapi ndio nijue jinsi ya kukueleza?
Usiwe mjinga nimekwambia jumlisha hzo tsavo zote mbili hamfikii nusu ya selous ndugu😀😀

Yani kwenye mambo ya protected areas and reserved tanzania sio mwenzenu, nyie pambaneni na uhuru kenyata anaemiliki arable land of over 15,000 km sq kubwa zAidi ya jamaica na baadhi ya wazungu wengine wanaomili ardhi kubwa kenya alaf mlivo wapuuzi juzi nimeona munataka kupitisha sheria ya uchimbaji madini kwenye mbuga za wanyama hehehe utalii umewatoa kamasi😀😀😀😀
 
You haven't asked any question you retard. How is what possible? Are you browsing from one of the dreamhouse shacks that make up 96% of slum city?
Haha cardiac temponade...sina muda wa kueleimisha ng'ombe
 
Sikia nikwambie Serena Hotel ya TZ inamiĺikiwa na wa Thaïland wakati ya Uganda inamilikiwa na Agha Khan pamoja Pension Fund. Kitendo chakuamua kutumia jina moja huwa nikutengeneza link na wateja. Hotel nyingi zina share majina duniani huku zikimilikiwa na watu tofauti ili kuongeza trust ya watejaView attachment 697039
Tunaongelea The SERENA Hotels sio hizo shacks vibanda mnaziita Serena. See your life
 
Tunaongelea The SERENA Hotels sio hizo shacks vibanda mnaziita Serena. See your life
Serena Ni Serena popote itapojengwa wewe tafuta mjinga ukamdanganye kwamba serena ya voi itakua beta kuliko ya harare
 
Haha cardiac temponade...sina muda wa kueleimisha ng'ombe
And btw what does cardiac tamponade relate to here... Just mentioning a word you just probably saw on the tv where it is entirely irrelevant. And its tamponade not temponade
 
There things I will never want to compare with Tz and Kenya, Parks and Resorts.. In this two is like Identical twin brothers wakishindana nani more handsome... We can compare with west Africa.

We have so manu tourism towns in Kenya than Tz.

Tz tourism towns is centred in Zanzibar and Arusha while Kenya Kuna Diani, Malindi, Kilifi,Watamu, Malindi,Mombasa,Lamu,Nyeri,Nanyuki,Naivasha,Nakuru,
This are places with mass tourism and not stop overs I have left out parks and reserves..

Last year local tourism numbers are were over 4million am sure local Tanzanians will hardly hit amillion mark.
DATA STORY: Why Kenya's 2017 tourism numbers are unusual

Tz may have had more International tourist but they will never beat us in total numbers.. poor people who only depend on foreigners.
Only Arusha and Zanzibar.?,shida yenu mlikaririshwa na mababu zenu kuhusu Tz,,na kwa sababu hampo tayari kufahamu ukweli kuhusu Tz endeleeni kukariri hivyo hivyo

Kwa taarifa yako Tz utalii umetamalaki karibu kila kona ya nchi japo idadi ya wataliii haiwezi kuwa same level na hizo sehemu ulizotaja,,kwa uchache tu kuna LUSHOTO,BAGAMOYO,MOSHI,MAFIA ISLAND,KILWA,IRINGA,RUKWA,MOROGORO na hata KIGOMA kwenye wanyama jamii ya SOKWE

Bahati mbaya sana (bahati nzuri kwa Kenya) ni kwamba Tz tulichelewa sana kutangaza vivutio vyetu na pia hatukuwa na miunfombinu mizuri ya utalii,,lakini kwa miaka ya karibuni tumerekebisha hayo mapungufu tena labda ni kwa 25% only ya inavyotakiwa lakini mmeanza kuwashwa (Muuliza Waziri wako wa utalii juzi alivyokuwa anajitekenya na kulia mwenyewe)

Mind u,,gharama za utalii kwa Tz zipo juu compared to Kenya lakini bado watalii wanamiminika kwetu kama mvua

Na kwa mikakati pamoja na projects zinazoendelea forget about overtaking Tz kwa upande wa Utalii.Ukanda wa kusini wenye vivutio lukuki ndo kwanza tunauamsha,,kwa tafsiri nyingine ni kwamba tayari kwa kutumia Arusha na Zanzibar tu (kama ulivyodai) tayari tushawanyea sasa itakuwa vp kama hayo maeneo mengine niliyokutajia ambayo bado ni machache kulinganisha na maeneo yenye vivutio tuliyonayo yakiwa fully utilized kwa kuyatangaza na kuimarisha miundombinu ya utalii (utekelezaji wa hayo umeanza)

Kwenye sekta ya utalii nyie sio size yetu .!
 
You are a shame to your fellow shack dwellers. No basic understanding of English makes it worse. Shida tupu
Basic understanding of language is what differentiate Scientists to the other, my forebrain the part of brain that is responsible for speech is intact ,I'm not here to prove any nyangau who I'm, The fact will remain English is not out language and I'm not slave to it as well
 
And btw what does cardiac tamponade relate to here... Just mentioning a word you just probably saw on the tv where it is entirely irrelevant. And its tamponade not temponade
Huna unachokijua ww, ulifaulu grammar ukadhan utaweza debate na kila mtu...
 
acha uwongo sio ya mkenya pimbi wewe niza wa thailand

Meza hiyo mate! Serena is Kenyan through and through! Founded in Nairobi in the 70s under Tourism Promotion Services it remains one of the few and first indigenous African chain of hotels with 5-Star ratings with cross-boarder properties in Kenya (HQs),East Africa,Southern Africa and South Asia. Only recently did the Aga Khan Fund for Economic Development acquire a stake when shares were floated at the Nairobi Stock Exchange!
 
Back
Top Bottom