Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa ukwel hautaki unataka uongo uongo tu kama wa pinako hahaha million 20 wewe hutaki...iyo 30 ya mombasa kwanza prove apa maana hamuaminiki ninyi
Wao ndivyo walivyo, wanatafuta figure wanapachika, kama walivyopachika capacity ya SGR yao kwa mwaka kwamba ni tani 35M, wakati ni 22M. ukiwaambia wakupe link hawana wanabaki na maneno tu
 
Icho, ushasahau Kenya has more game reserves and national parks than Tz.
Aberdare National Park ›
Amboseli National Park ›
Arabuko Sokoke Forest Reserve ›
Buffalo Springs NR ›
Chyulu Hills National Park ›
Hell's Gate National Park ›
Kakamega Forest NR ›
Kora National Park ›
Laikipia Plateau ›
Lake Bogoria National Reserve ›
Lake Nakuru National Park ›
Lake Turkana ›
Lewa Wildlife Conservancy (Laikipia) ›
Marsabit National Park ›
Masai Mara NR ›
Meru National Park ›
Nairobi National Park ›
Ol Pejeta Conservancy (Laikipia) ›
Ruma National Park ›
Saiwa Swamp National Park ›
Samburu National Reserve ›
Shaba National Reserve ›
Shimba Hills National Reserve ›
Solio Ranch (Laikipia) ›
Tsavo East National Park ›
Tsavo West National Park

National Parks
selous game reserve pekeake inaweza kumeza 15 game reserve in kenya, kwanza utambue selous ndio reseve kubwa duniani sio africa naongelea duniani😀😀😀😀😀😀😀

ruaha national park inaweza kumeza 10 national park in kenya na kama unabisha sema😛😛😛😛
 
Kibera namba nane...a normal blemish on a beautiful face
6682.jpg
 
Wao ndivyo walivyo, wanatafuta figure wanapachika, kama walivyopachika capacity ya SGR yao kwa mwaka kwamba ni tani 35M, wakati ni 22M. ukiwaambia wakupe link hawana wanabaki na maneno tu
Mboyoyo mingi Hawa, Ndio kusema wana barabara nzuri wakat Barabara zetu ndio zimetulia na zinafika mbali sana...
Izo barabara Za Nairobi wala hazifikii zilizopo Dar kwanza Dar Ni kubwa kuliko Kenya
 
Nyumba chache na msitu mnene
Wewe chuki na wivu itakuwacha lini? Nasikia mko na zoo, ungeleta tu picha za zoo badala ya kupiga kelele. And hey, hizo sio misitu. Its called green spaces. Najua dar hamna miti ndo maana waongea hivyo
 
selous game reserve pekeake inaweza kumeza 15 game reserve in kenya, kwanza utambue selous ndio reseve kubwa duniani sio africa naongelea duniani😀😀😀😀😀😀😀

ruaha national park inaweza kumeza 10 national park in kenya na kama unabisha sema😛😛😛😛
Nikubwa kuliko kenya hahaha
 
You mean 100% of kenya is equal to 37% of Tanzania im size? Go lie to your fellow illiterates
Hizo hesabu umefanya wewe, mimi nimesema 30% ya Tanzania ni reserved, lakini nimesahihishwa kumbe ni 50% ya nchi ya Tanzania ni reserved and protected, sasa fanya tena hesabu zako na utuambie, ni % ya eneo lote la Kenya? . Usiache kutuambia ni sehemu gani ya ardhi ya Kenya.
 
Back
Top Bottom