yangu macho
Member
- Jun 7, 2017
- 28
- 12
Babu hii barabara inalami sasa hivi
Hao mandume ni Kwa ajili ya Dada mwaswast asiseme tumemtenga [emoji23]kwanini mbona unapost picha za mandume???? 2mbaff.
usisahau kupost madem wa kizanzibar pia
Mwishowe huo mkokoteni ugonge hivyo vibanda
Huyu haina haja ya kumpa Dada ,unampa mbwa wawili watakidhi haja zake.[emoji23]ukinionesha indication yoyote kua hapo ni dar nakupa dada yangu bure kabisa😀😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao mandume ni Kwa ajili ya Dada mwaswast asiseme tumemtenga [emoji23]
kwa taarifa ambazo ninazo, baada ukuta kukabidhiwa rasmi, jukumu zima la ulinzi litaachiwa kwa JWTZ.sasa jaribuni wakenya kuingia humo tutawachoma kama tunavochoma vifaranga vyenu😀😀😀😀
View attachment 696684
Wewe ni renders tu ndio umeona! Mbona hapo kwa screenshot za IamLee ambazo zinaonyesha hali halisi ya Dar umepita kimya kimya? Hiyo ndio Dar mnayolinganisha na jiji kuu Afrika mashariki na kati? Hata hamna haya! That glorified village should not be compared with Nairobi even for a second. Yani Dar haina anything outside cbd!leo muggers wameamua kuleta renders za miradi ya kujifariji.smh
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa hali kama hiyo naona Trump alichelewa sana kutuita shithole
NB:wanaokaa hapo wana moyo, maana ule mkokoteni ukipita unaweza kuta mimba za watu zinatoka bure[emoji23]
Umeambiwa hiyo ni BRT???brt hoyeeee
😀😀😀😀😱