Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africa ni nchi 5 tu...Nigeria, Egypt, SA, Morocco na Kenya....wengine wote flower girls...😀😀😀end this battle now
Nawaza tu tena siyo kwa sauti ya juu
The Richest Countries In Africa

upload_2018-2-13_15-14-11.png

The Richest Countries In Africa

Kenya hamo kwenye orodha hiyo.
 
NairobiForefrontPhoto5_600_398_80.jpg
images.jpeg
Hapa tukiwa katika mbuga za Nairobi cbd tunaona viumbe wanaojulikana kwa jina la majobless wakiwa katika natural habitat yao. Wanapatikana kwa wingi eneo hili, viumbe hawa ni hatari sana hivyo inabidi uwe makini sana wakikufuata kwa nyuma kwani either utapigwa roba au utasikia mimi fundi umeme nipatie job budda.
 
Africa ni nchi 5 tu...Nigeria, Egypt, SA, Morocco na Kenya....wengine wote flower girls...😀😀😀end this battle now
Wewe siuliwambia wenzako kuwa waache kuchangia chochote kwenye hii thread? Mbona wewe ulikuwa wakwanza kuvunja azimio ulilo liweka? Nachoona nikuwa hii thread imewanyima sana usingizi, nikama mlikuwa hamjui
Kila siku unasema end of this battle lakini kukikucha unahamka nayo. Tanzania siyo ya 60's.
 
View attachment 695027 View attachment 695028 Hapa tukiwa katika mbuga za Nairobi cbd tunaona viumbe wanaojulikana kwa jina la majobless wakiwa katika natural habitat yao. Wanapatikana kwa wingi eneo hili, viumbe hawa ni hatari sana hivyo inabidi uwe makini sana wakikufuata kwa nyuma kwani either utapigwa roba au utasikia mimi fundi umeme nipatie job budda.
master,
hii yako inaweza kuwa ni post bora ya siku ya leo katika thread hii....mtu hatari sana wewe.
 
Wewe siuliwambia wenzako kuwa waache kuchangia chochote kwenye hii thread? Mbona wewe ulikuwa wakwanza kuvunja azimio ulilo liweka? Nachoona nikuwa hii thread imewanyima sana usingizi, nikama mlikuwa hamjui
Kila siku unasema end of this battle lakini kukikucha unahamka nayo. Tanzania siyo ya 60's.
thread imewakalia sehemu mbaya. hawana namna ya kuikwepa wala kuikimbia....inabidi tu wakabiliane nayo hata kama nafsi zao hazitaki.

hii ndio thread pekee inayotesa wakenya tangu kuanzishwa kwa jf miaka kadhaa iliyopita. hakujawahi tokea thread inayotesa wakenya kama hii.

nina hakika hata uhuru, ruto na baadhi ya officials wa serikali ya kenya watakuwa wanapitia kusoma comment za wachangiaji.

NB:
imefika pahala mpaka baadhi yao huwa wanashangaa kwa namna gani thread ina-trend hadi leo huku tukiendelea kuwatoa jasho jamaa zao.
 
Wanaendelea kuiga yale mazuri ya Magufuli, huu ndiyo ujirani mwema tunaoutaka, kuiga mema ya jirani yako, hongereni sana wakenya
watakwambia issue za viongozi wa kenya ku-resign kwa hiyari zilikuwepo kabla hata uhuru kenyatta hajaingia madarakani.
anyway tutataka watuwekee reference.
 
Back
Top Bottom