Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

70 percent angola wanaishi ktk umaskini....richest woman ana net worth zaidi ya 3 billion...danganya mwingine..sio mkenya bro
Lakini Angola GDP yake ni $150B, hapo ndiyo ujue GDP haina maana kama uchumi sio Inclusive kama ulivyo uchumi wa Kenya, wachache watafaidi, walio wengi wanaendelea kuimba GDP na kuishi katika slums.
 
haya twende sasa mko na influence gani kijeshi hata kiraia inayowashinda hapo somalia??
South Sudan peace efforts are led by the Kenyan army...Somali kama si KDF wangekuwa wanatawaliwa na rais wa alshabaab hivi leo....ndio hio influence ninayozungumzia...wakati uhuru alipotoa jeshi sudan kusini, UN ilirudi kumbembeleza sababu inajua umuhimu wa jeshi la Kenya kule Sudan...
 
Wakati KDF inaingia Somalia, Uganda walikuwa wapo Mogadishu walishaikomba, Kenya mlikomboa mji wa Kisumayu pekee, acha kutudanganya jombaa
 
South Sudan peace efforts are led by the Kenyan army...Somali kama si KDF wangekuwa wanatawaliwa na rais wa alshabaab hivi leo....ndio hio influence ninayozungumzia...wakati uhuru alipotoa jeshi sudan kusini, UN ilirudi kumbembeleza sababu inajua umuhimu wa jeshi la Kenya kule Sudan...
cha kuskitisha somalia na south sudan munakufa kama kuku😀😀😀😀😀 sasa ikiwa KDF wanauliwa kwenye ardhi yenu je kwa watu inakuaje????
 
jengo la 1960s
nairobi_hilton_hotel_kenya.jpg
IMG13711.jpg
IMG_5660.jpg
 
wacha diamond ajiendeleze...ingawa siskizi nyimbo zake, namkubali kwa jitihada zake...kujinasua toka tandale sio mchezo...haswaa kwa umri mdogo wake....wengine ninaowajua wa miaka 50 na zaidi bado wanapambana na watoto mitandaoni😀😀😀😀
achana na kujadili umri wangu, it's true i'm in 50s.hiyo haina ubishi.

wewe "tumana" cv zako kwa inbox yangu nikupatie job ya u-chief supervisor wa WCB office in kenya.

najua maisha ya u-jobless yanakupa stress sana, pia najua tangu ulipo maliza college/university miaka sita iliyopita mpaka hii leo unakaribia umri wa miaka 30 hujawahi pata ajira yenye hadhi nzuri.

kenya fursa za kujiajiri ni finyu sana.
 
nina job tayari kisha sina interest na music industry...ila asante
 
cha kuskitisha somalia na south sudan munakufa kama kuku😀😀😀😀😀 sasa ikiwa KDF wanauliwa kwenye ardhi yenu je kwa watu inakuaje????
wanajeshi wa tz walipouawa kama kuku kule congo ulikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom