Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
tuna shida zetu pia...ila angola sio nchi ya kufananisha na Kenya...kule hela ziko mikononi mwa rais mstaafu na wana wake....kumbuka angola ndio ikona mwanadada tajiri kabisa baranai africa...ni mtoto wa rais mstaafuKwa vile kenya muna maisha mazuri sanaπ
More than 3 millions Nairobians live in kibera, eat that paupers stateangola ni nchi maskini sana...ndio wana uchumi mkubwa ila zaidi ya raia asilimia 70 wanaishi katika umaskini wa kutupwa...shida kubwa kule ni inequality...
Wacha kulia Buda kadoda humohumomjinga mwingine amekimbia nairaland kutafta comments zinazohusu Kenya ili alete hapaππππhuwa nashangazwa sana na hawa bongolala...mtu mzima mbona kajikosa heshima hivi...jamaa nina uhakika ana miaka karibu 40 ila akili za teenagerπππ
tanzaniaππππ...umejitekenya pindi tu ulipo taja tanzaniaAre you planning to moon on us all? Stop talking nonsense, Angola like Tanzania we are not your type hunger stricken failed state
sawa budaWacha kulia Buda kadoda humohumo
tanzania hakuna umaskini sio?ππππππ tofauti ni kuwa slums na umaskini wa Bongo upo sana sana kwenye rural areasMore than 3 millions Nairobians live in kibera, eat that paupers state
Kwenu si zipo kwa uhuru na familia yaketuna shida zetu pia...ila angola sio nchi ya kufananisha na Kenya...kule hela ziko mikononi mwa rais mstaafu na wana wake....kumbuka angola ndio ikona mwanadada tajiri kabisa baranai africa...ni mtoto wa rais mstaafu
[emoji23] [emoji23] Kadoda muonee huruma usimfukuze kama Wanjalauna kila sababu ya kumiheshimu cos kiumri mimi ni sawa na yule baba yako anayelewa pombe hovyo kule ushago.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
fananisha net worth ya uhuru na ile ya Isabel dos santos...mwana wa rais wa angola kisha uje uniulize chochoteKwenu si zipo kwa uhuru na familia yake
At least wao Wana mafuta nyi mna ninfananisha net worth ya uhuru na ile ya Isabel dos santos...mwana wa rais wa angola kisha uje uniulize chochote
3 million ni kidogo sana. Weka hata 10 million ufurahi kisha uingie tandale ulaleMore than 3 millions Nairobians live in kibera, eat that paupers state
mwache huyo ana mapepo tu...jamaa mzee ila yupo JF mchana kutwaπππ[emoji23] [emoji23] Kadoda muonee huruma usimfukuze kama Wanjala
we have one of the most influential countries in Africa...our stock exchange is no. 4 after Johannesburg, lagos and cairo stock exchange....we have the most important city in East and central africa and Nairobi's GDP is no. 4 in Africa after Johannesburg, cairo and lagos...thats what we have my brother...we recently discovered oil...we lead in terms of technology together with SA and Nigeria....Kenya is the most powerful country in EAC, the most advanced economy and best infrastructure in the reegionAt least wao Wana mafuta nyi mna nin
[emoji91] [emoji91] [emoji91]your cabinet secretary for tourism,najib balala, cares a lot about tanzania.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The feelings catchment is so real here.3 million ni kidogo sana. Weka hata 10 million ufurahi kisha uingie tandale ulale
Kumbuka ndo wenye njaa East and Central African so iyo infruencial inatoka wapi au mi ndo sielewi manakewe have one of the most influential countries in Africa...our stock exchange is no. 4 after Johannesburg, lagos and cairo stock exchange....we have the most important city in East and central africa and Nairobi's GDP is no. 4 in Africa after Johannesburg, cairo and lagos...thats what we have my brother...we recently discovered oil...we lead in terms of technology together with SA and Nigeria
Ethiopia wana njaa...maeneo flani ya SA wana njaa..tanzania kuna mahali watu wana njaa....tafuta excuse lingine ndugu...nimekupatia list ya vitu ambavyo Kenya inaongoza...sasa nataka nikuulize what does tz have? ππππKumbuka ndo wenye njaa East and Central African so iyo infruencial inatoka wapi au mi ndo sielewi manake
You should have reminded him that Angola is a country that was ravaged by civil war for close to two decades during which they country stagnated on economic development. You should also have reminded hom that Luanda, the country's capital, is the most expensive city to live in in Africa. Civil war in Anhola ended just the otjer day so the country has nothingbon Kenya ila wanjikakamua sana kimaendeleo. Sio kama hawa majirani wetu bongolalahata mngesema botswanana na namibia ningekubali ila angola hamna chochot kule....ni mafuta tu ndio inawapa uchumi mkubwa ila hali ya wananchi afadhali ya LDC...kama tu nigeria