Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waswahili,, apart from umbea na masengenyano.... ni kazi gani nzuri mnayoeza kufanya?
 
Kenya: 2 Soldiers Killed, 5 Injured in Exchange of Fire With Administration Police

allafrica.com

Feb 15, 2018 11:41 AM

Nairobi — Two military soldiers were shot dead by Administration Police officers in Mandera late Wednesday, near the border with Somalia, in what authorities described as 'friendly fire'.

The KDF soldiers are said to have been on patrol when they encountered the Administration Policemen and opened fire on their camp deep inside a forest on mistaking them for Al Shabaab terrorists.

As a result, police said, the AP officers fired back and killed two KDF soldiers and injured five in the incident that occurred at Sheikh Barrow - a remote area close to the border.

Lafey Deputy County Commissioner Charles Mbulishe has confirmed the incident

Hawa jamaa vilaza sana,wenyewe hawaelewani,wataweza kuishinda Al-shabaab?
very poor military tactics. their security organs are not well organised.

ndio maana kdf haitakuja wahi kuwamaliza alshabab. labda alshabab waamue wenyewe kusitisha harakati zao.
 
We are in the 3000th page and Tanzania is still an LDC.......they blame Kenya and not imf
 
hahahaha kuishiwa nayo.....ningekuona mjanja sana kama ungekuwa una-share discussion za watz from other source other than jf,kama vile sisi tunavyoleta screenshot za wakenya toka twitter.

but kuleta discussion za watz from jf inside jf ni u-kilaza wa hali ya juu.
tangu nianze ku-surf internet, miaka yangu yote, kwenye forums tofauti tofauti za ulimwenguni, ni wananchi wa nchi tatu tu pekee barani Afrika ambao mara nyingi huwa nakumbana nao ambao ni Wakenya, Wanigeria na Waafrika Kusini.... Wazimbabwe pia wanajaribu. sasa tanzania juu haielewi kiingereza, itatoa mchango gani wakueleweka na wa kuchukuliwa serious in any social media apart from kujibana hapa jf?
 
hahahaha kuishiwa nayo.....ningekuona mjanja sana kama ungekuwa una-share discussion za watz from other source other than jf,kama vile sisi tunavyoleta screenshot za wakenya toka twitter.

but ku-share discussion za watz from one jf thread to onother ni u-kilaza wa hali ya juu.
Kwa hivyo hao sio watanzania....acha kuwa ivo kijana mzee
 
Patriots, ati kuna bongolala inataka nimtaftie Tweets za Tz... nisaidieni kutafuta na tochi plz
e6e487f307b8f8737f58ce5ff9852e3d.jpg
 
vile vijana wa kikenya "wasio na job" walivyochangamkia fursa walipo soma tweet ya diamond platnumz kuhusu kuzindua office ya WCB kenya.

btw hizi ni screenshot za wachache tu, but wapo wengi wanaondelea ku-tag wenzao mpaka sasa.

3771b5e3e94ee668037b039cefb06de4.jpg
ef36a3bf986ac946e3986c569d943994.jpg
924b791792da74a57b5c490ff799bca8.jpg
a7565d791c87517deaa453d18d9c5ff1.jpg
b4e72a359e83128866c6da12a9615fc1.jpg
bb461542fdad4e66c882d4b18a2f570c.jpg

safi sana vijana, nimependa mlivyochukulia serious hii issue, this is the golden opportunity for artists.

msiwafatishe hawa "muggers" wachache wa jf.
 
tangu nianze ku-surf internet, miaka yangu yote, kwenye forums tofauti tofauti za ulimwenguni, ni wananchi wa nchi tatu tu pekee barani Afrika ambao mara nyingi huwa nakumbana nao ambao ni Wakenya, Wanigeria na Waafrika Kusini.... Wazimbabwe pia wanajaribu. sasa tanzania juu haielewi kiingereza, itatoa mchango gani wakueleweka na wa kuchukuliwa serious in any social media apart from kujibana hapa jf?
tangu muanze kujihusisha na hizo forum za ulimwenguni ambazo wachangiaji hutumia lugha ya kingereza,mmepata nini cha ziada ukiachilia madharau na matusi mnayotukanwa na wanaijeria?.

kuna wakati mlidai kwamba mnataka kuachana na jf ili muende nairaland, cha ajabu hadi hii leo, mpo hapa jf, na kila siku wakenya wapya wanajisajiri jf.

ukiondoa mtandao wa kikabila wa JamiiForums.com, ni mtandao gani wa kijamii wa kikenya unaweza simama na jf?.
 
Back
Top Bottom