kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
nipatie orodha ya Wakenya waliojisajili na jf mwezi huu. halafu Wanaija hushinda kutusifia kule Nairaland na kuna Wakenya wanaowakilisha Kenya kule Nairaland sasa sijui wewe unamaanisha nini?tangu muanze kujihusisha na hizo forum za ulimwenguni ambazo wachangiaji hutumia lugha ya kingereza,mmepata nini cha ziada ukiachilia madharau na matusi mnayotukanwa na wanaijeria?.![]()
kuna wakati mlidai kwamba mnataka kuachana na jf ili muende nairaland, cha ajabu hadi hii leo, mpo hapa jf, na kila siku wakenya wapya wanajisajiri jf.
ukiondoa mtandao wa kikabila wa JamiiForums.com, ni mtandao gani wa kijamii wa kikenya unaweza simama na jf?.![]()
![]()
Lugha* andika tu Kihehekinyamwezi sio "luga" yangu.![]()
![]()
![]()
sihandik.Lugha* andika tu Kihehe

Mtaniuwa na kicheko. Sinambavu.Jamaa akikwambia yeye ni Financer wa Safaricom ukatai.View attachment 550503
.. Have you noticed when you pin them down on something, they keep changing the goal post... Hahaha stupid fools.. Dar slumWe are in the 3000th page and Tanzania is still an LDC.......they blame Kenya and not imf
haya ndio madhara ya kushiba githeri... Have you noticed when you pin them down on something, they keep changing the goal post... Hahaha stupid fools.. Dar slum

My brother usishangae sana, just go to google earth uone vile dar omechakaa. Yani kila mahali ni nyumba za gable with corrugated iron sheets. Huu mjii haifai kulinganishawa na Nairobi haplta sekendu moja. Enda google earth ama wikimapia.org then search dar es salaam. Utacheka sanaKenyans, I have noticed this morons keep showing asmall part of dar from different angles.. Dar has nothing on Nai, I belive the rest of the other parts are full of slums and unplanned settlements. Poor Dar
wacha nimpe sampleMy brother usishangae sana, just go to google earth uone vile dar omechakaa. Yani kila mahali ni nyumba za gable with corrugated iron sheets. Huu mjii haifai kulinganishawa na Nairobi haplta sekendu moja. Enda google earth ama wikimapia.org then search dar es salaam. Utacheka sana
Look at those "dream houses"wacha nimpe sample
View attachment 696037
hahahahaa... and they happilly call them 'dream houses' without a shame. yaani jichoboy akiwa na nyumba hapo katikati tayari anajiona amefikaLook at those "dream houses"
Alafu utsikia eti dar kila mtu anamiliki nyumba. Hizo ni nyumba au changaduo? najua watataja kibera but kibera ni sehemu ngogo sana kwa Nairobi. Comparing Nairobi with dar is a waste of timehahahahaa... yaani jichoboy akiwa na nyumba hapo katikati tayari anajiona amefika
akisema hakuna hotels ina maana hakuna hata moja...we jamaa tafadhali wacha jokes😀😀😀😀kwani kiingereza kigumu?Swali kwa wakenya!! Hizo picha za hotels mnzotuma humu mnazitoaga wapi? ikiwa waziri wenu anasema mna hotels za kizaman huku zetu zikiwa bora na mpya mpya
!![]()
they dont hav anything outside that CBD...kila mtu anaishi hapo...kila mtu anafanya kazi hapo...kila mtu anatibiwa hapo....hawana estates hawa majamaait's so interesting to see how these Tanzanians keep showing us images of dar cbd. Yani kaeibia 90% of all their postings capture only the cbd, with the three blue towers featuring prominently followed by the overrated brt. Yani ni nadra sana kuona hawa ndugu zetu wakipost earial photos showing life in dar outside the cbd. It only confirms one thing: this glorified village has nothing outside the cbd which makes this comparison a stupid one. Yani dar iko na slums left right and center! ingieni google earth ama wikimapia.org mshangae