ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haya tuambie hapo ni maeneo gani dar???Haya hii ni dar tuelezee ni slum si slum?
![]()
Usilete picha za sehemu zingine ukasingizia dar sasa tueleze hapo ni wapi dar?????😀😀😀
Haya tuambie hapo ni maeneo gani dar???Haya hii ni dar tuelezee ni slum si slum?
![]()
Amechanganyikiwa huyo, anagusa kila sehemu anakuta ni moto tu, Tanzania hoyeeeeeHaya tuambie hapo ni maeneo gani dar???
Usilete picha za sehemu zingine ukasingizia dar sasa tueleze hapo ni wapi dar?????😀😀😀
😀😀😀😀😀 dunia nzima haitambui kama dar kuna slums wanaitambua kenya sasa wanataka kuficha aibu kutafuta maeneo hayahusiani na dar walazmishe iwe darAmechanganyikiwa huyo, anagusa kila sehemu anakuta ni moto tu, Tanzania hoyeeeee
nimefurahi umerejea ili niendelee kukukuna.Ha sharobaro nambie Bibi we! naona wet pussy inakuasha watafuta wa kumla bata sio?? ile siku utagrow manhood njoo unitag.

akikutajia eneo nitag.Haya tuambie hapo ni maeneo gani dar???
Usilete picha za sehemu zingine ukasingizia dar sasa tueleze hapo ni wapi dar?????😀😀😀
Anafanya watu ni WAPUUZIHakuna flyover nbi, what ar you showing us are some bridges of 20 to 30 meters and nonesense interchanges
Kwa ufupi hawana maeneo mengi ya kuishambulia Tanzania, ukiona watu wanashikilia ombaomba kama ni issue ujue wameishiwa hao.😀😀😀😀😀 dunia nzima haitambui kama dar kuna slums wanaitambua kenya sasa wanataka kuficha aibu kutafuta maeneo hayahusiani na dar walazmishe iwe dar
naona siku hizi ule wimbo wao wa "tz ni ldc" umeanza kuchuja.Kwa ufupi hawana maeneo mengi ya kuishambulia Tanzania, ukiona watu wanashikilia ombaomba kama ni issue ujue wameishiwa hao.

Watanzania mna shida kubwa !
Mnayafuatilia sana mambo ya Kenya ilhali sisi haja hatuna kwa yale yafanyikayo Tz.
Tz uzi huu vile mlivyo jaa
Magazeti,runinga na mitandao ya kenyo mpo
Mwanusianusia kila uchao ni yepi yaliyomo Kenya na kwa hakika,ule wimbo wenu wa tuta,tutu bado mtauimba,
FYI its only South Africa,Nigeria na Kenya zenye ni nchi za kusema Africa nzima,usemi tunao,ushawishi tunao,nchi Limbukeni kama Tanzania nani anayeijua ? Hamna !
tz ni LDC...ama ni siri?😀😀😀naona siku hizi ule wimbo wao wa "tz ni ldc" umeanza kuchuja.
ila mimi napenda waendelee kuimba, wakija kushtuka itakuwa ni too late.
tz ya magufuli mambo ni fire...tupo katika speed ya jet kuyafikia maendeleo. hapa kazi tu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
picha yenyewe sijui imepigwa mwaka 1994 hukoHaya tuambie hapo ni maeneo gani dar???
Usilete picha za sehemu zingine ukasingizia dar sasa tueleze hapo ni wapi dar?????😀😀😀

Umesahau na nchi moja ya kiafrica maarufu sana, inaoitwa Republic of KiberaAfrica ni nchi 5 tu...Nigeria, Egypt, SA, Morocco na Kenya....wengine wote flower girls...😀😀😀end this battle now

Anaishi Porini cyo??Wanasiasa washenzi sana