Watanzania mna shida kubwa !
Mnayafuatilia sana mambo ya Kenya ilhali sisi haja hatuna kwa yale yafanyikayo Tz.
Tz uzi huu vile mlivyo jaa
Magazeti,runinga na mitandao ya kenyo mpo
Mwanusianusia kila uchao ni yepi yaliyomo Kenya na kwa hakika,ule wimbo wenu wa tuta,tutu bado mtauimba,
FYI its only South Africa,Nigeria na Kenya zenye ni nchi za kusema Africa nzima,usemi tunao,ushawishi tunao,nchi Limbukeni kama Tanzania nani anayeijua ? Hamna !