Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya inapeperusha bendera ya Africa south Korea sahiiii....winter olympics
next week Kenya na SA zitatua las vegas,US kuwakilisha africa too,
worldcup ya 7s si mbali pia ,tutawakilisha,
commonwealth games tutauza sura ya africa pia...
 
pia world volleyball tunaenda kuuza sura ya africa,
JINA ya kenya inajulikana dunia mzima tukianza na Talent...
 
hongereni kwa hilo.
 
Africa ni nchi 5 tu...Nigeria, Egypt, SA, Morocco na Kenya....wengine wote flower girls...😀😀😀end this battle now
Acha kuidhalilisha Africa kenya ni failed state so kwanini iwe moja ya nchi zinazoendesha Africa labda kwa rushwa na ukabila
 
This is what we call Human Development

m42.jpg

m5.jpg

m4.jpg
Kenya hospital kama hii haiwezi kuwa ya serikari lazima iwe ya wazungu
 
pia world volleyball tunaenda kuuza sura ya africa,
JINA ya kenya inajulikana dunia mzima tukianza na Talent...
Haha ni nchi nyingi zinashiriki wala hatuzijui...sasa Korogocho yenu hu care ipo au haipo...endelea kuamini ivyo itakusaidia kuondoa mawazo
 
Acha kuidhalilisha Africa kenya ni failed state so kwanini iwe moja ya nchi zinazoendesha Africa labda kwa rushwa na ukabila
Ni simple fact na unataka kubisha hadi hio....mwenyewe unakumbuka trump alipoingia madarakani na kuanza kuwapigia simu marais mbali mbali wa dunia, kwenye nchi za Africa aliwapigia tu marais wa S South Africa, Nigeria, Egypt na Kenya..the only countries that matter in Africa
 
Kwa kuwaabudu wamarekani, ninyi ni kiboko, ndiyo sababu wanaume wengi wa Kenya wanaolewa huko USA, sasa kwa Trump kumpigia simu Uhuru ndiyo kigezo cha ninyi kutoka katika kundi la failed states?
Kenya ranked as 'failed state'
 
And this is not a render??watanzania akili zenyu mwazifahamu wenyewe
acha kukurupuka.
nani kakwambia hiyo ni render au siyo render. ndio maaana huwa nawaita vilaza.

btw hiyo picha nime-dowland somewhere..the view looks similar with dar es salaam from the far south-east side of indian ocean if you are in the boat.

for kenyans who have been in dar know what i'm talking about.

aa8611ca299c18707891f80c13572efb.jpg
3f5c7ef1615849b0901f944de18b8510.jpg

89a3e87f45a8441abf89d632f4263c40.jpg
 
Back
Top Bottom