Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

00af4723c2fd296c98accbb6fb706e90.jpg
huyu jamaa anasumbua sana kenya😀😀😀😀
 
Are you neutral?, may be. Is Kenya more democratic than Tanzania?, but according to International rankings, Tanzania is leading in EA, which rankings are you using to support your points?.
Kindly provide a link from those International rankings and then we can proceed further.
 
Nilifanya kazi mwaka mmoja sumbawanga -Rukwa ,nilifaidi sana misosi bei nzuri na hali ya hewa baridi kweli kweli...

Nilivyomaliza mkataba nikaondoka lakini siwez pasahau...panalimwa sana mahindi, mpunga kule...Ziwa Rukwa pamoja na Tanganyika basi samaki kibao...aaah maisha yalikua bomba sana
 
You are too young to this thread in all aspects especially exposure maturity & reasoning capacity, huna mbele wala nyuma go back to some early pages and grow strong with them.
Nigga usinipande kichwani. U say am too young. Maybe I am. Show me ni kitu gani umeona kinachokufanya useme am too youmg for this thread, cauae it seems to me that u re trying to dismiss everything I said with just a blunt statement such as am too young for this thread. Sema hoja yako ya kusema am too young for this thread. I can call you stupid as well, but If I call u stupid that's not all, I need to have a reason to get to the conclussion of saying that. Kwahigo wewe matured nigga, tell me where my youngness begins and end. Grow a pair nigga.
 
so unalazmisha kuitwa mtanzania😀😀😀

jaribu njia nyingine hii imesha fail tayar pole na asante kwa kuja🙄🙄🙄
Ignorance is a world phenomenon ila wabongo tunaweza kuwa tunaongoza, wabongo wanapenda bisahana ushindani wa kushinda na kwa kutumia hisia na siyo kwa hoja. Am Tanzanian tena nimezaliwa Muhimbili kabisa, sina haja ya kuku convince wewe uamini au usiamini, I could care less, mngekuwa Migration officers atleast, but just some guys from JF and other social media mtanisamehe.
Now that mmeona mmekosa hoja mnaanza kuleta insults which is typical Mtanzania. Eti mi sio Mtanzania!! Endeleeni kujipa moyo ili mlale vizuri usiku.
I dare you to bring hoja relevant to the topic tuone if u could keep up, I double and tripple dare you to say something kinachoendana na mada husika and not what someone else has said.
Look what you made me do, now you have me engaged talking about other things that are irrelevant.
#god_damn.
Huyu akili zake anazijua mwenyewe, achana naye.
 
Nigga usinipande kichwani. U say am too young. Maybe I am. Show me ni kitu gani umeona kinachokufanya useme am too youmg for this thread, cauae it seems to me that u re trying to dismiss everything I said with just a blunt statement such as am too young for this thread. Sema hoja yako ya kusema am too young for this thread. I can call you stupid as well, but If I call u stupid that's not all, I need to have a reason to get to the conclussion of saying that. Kwahigo wewe matured nigga, tell me where my youngness begins and end. Grow a pair nigga.


I think what he meant to say is you are new here on jamiiforums and on thread also, so you need to read earlier pages first. I
 
harufu ya ufisadi inanukia😀😀
watu wanachukua millions of money alaf wanajenga dream projects
384D863C-ED24-4A9E-974C-FC7D22FA5AC6.jpeg
 
The hard task of searching for a job amid scams

By Mercy Adhiambo
Published: Feb 10th 2018 at 23:46, Updated: February 10th 2018 at 23:46



A graduate with Bachelors of Science in Agriculture from University of Nairobi ,Suzie Khaoya, 39, display her academic qualifications to passersby at the Trans Nzoia county government on 7th December, 2016. She has unsuccessfully searched for a job in the last 16 years . [PHOTO/WILBERFORCE NETYA]

When Jude Omollo saw the call for young graduates seeking employment on a local newspaper two years ago, he was elated. It came when he was almost slipping into depression; having looked for a job for three year


Jobless kila kona,alafu eti GDP kubwa,ovyo kabisa.
 
baada ya kuona tourism sector imekwisha kenya sasa wameruhusu uchumbaji wa madini kwenye mbuga za wanyama😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom