Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilifanya kazi mwaka mmoja sumbawanga -Rukwa ,nilifaidi sana misosi bei nzuri na hali ya hewa baridi kweli kweli...

Nilivyomaliza mkataba nikaondoka lakini siwez pasahau...panalimwa sana mahindi, mpunga kule...Ziwa Rukwa pamoja na Tanganyika basi samaki kibao...aaah maisha yalikua bomba sana
Ulikuwa sumbawanga maeneo gani?mi ni mwenyeji huko.
 
unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven.
current weather forecast in some part of kenya.tazameni wenyewe kiwango cha joto... ni kama wapo jehenamu.

halafu nimeamini kweli kenya ni cursed state,almost large part of the country possibility of rainfall is zero parcent. ndio maana kila wakati mnakabiliana na njaa.njaa haiwezi kuwaacha salama. watakwambia ati ooh you know kenya is semi arid.

56fc7839a286c7f0bbd650d6021db4db.jpg
46b9a4a805d166f3b55fc1fdca63fb9a.jpg
5cd8130b8a0481f30d30cb05f6077d6b.jpg
932602487101e0c0e01e50d3469a0a80.jpg
2f779eb8be0889dba9095cee113c2ae1.jpg
f924aa102e0eccb822b8f4081bc034d4.jpg



NB
kigoma, tanzania.
3051997e9da4f5fd97c5196ff19a93b8.jpg
 
Back
Top Bottom