Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo amesema alikosa good buses juu ya kuchelewa...ni kusoma huwa hamjui ama....video inakaa ya kitambo pia.
Kwa taarifa yako Bus kama hizo Tz haziruhusiwi kuingia Jijini Dar
Huku Huwezi ruhusiwa kubeba Abiria kwa Mabasi kama hayo eti Utoke Jiji kuu la nchi kwenda Jiji lingine kubwa lanchi!!

Angalia vizuri Video hiyo Uchafu ulivyo tapakaa
pia Kama ni Zamani
Nionyeshe Bus stand Nairobi
Cheki hizi za Bongo
 
Rahisisha weka screenshot
nilidhani data bei rahisi
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom