mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Una kiherehere...mob...ata iyo.tz haijulikani East africaKwahiyo majambazi wanaowaibia watu na kuwapiga risasi watu wasiokuwa na hatia kwako unaona ni hafadhali kuliko mtu anayeomba?, ndiyo sababu tunawafukuza huku kwetu na South Africa wamewakatalia kuingia nchi yao bila Visa pamoja na kuwabembeleza na kuwalamba miguu.
Weee mshamba tu eti umeisoma kwa mediaHivi watoto wanaoishi kwa kunyonyeshwa na mbwa ni nchi gani?, na wale wazee wa Samburu wanaotaka kuwaua watoto wao ili wasiteseke kwa njaa wanatoka nchi gani?
Upumbavu huo wa kujulikana na kujisifu is made in Kenya, hakuna nchi ingine duniani inayopenda kujulikana wakati njaa, insecurity, unemployment, slums, corruption vimetamalaki lakini hawashughuliki navyo.Una kiherehere...mob...ata iyo.tz haijulikani East africa
Tanzania nyie Hamna oja. Ni usenge 2 na ubeaWeee mshamba tu eti umeisoma kwa media
Sasa ulitaka hadi na mimi binafsi niende nikanyonye maziwa ya mbwa ndiyo uweze kuamini?[emoji1] [emoji1]Weee mshamba tu eti umeisoma kwa media
Sio hoja tu, pia hatuna tribalism, hunger, corruption, insecurity, slums, and sifa za kijinga.Tanzania nyie Hamna oja. Ni usenge 2 na ubea
Sasa ....iyo imeifanya tz kuwa GDP kubwaSasa ulitaka hadi na mimi binafsi niende nikanyonye maziwa ya mbwa ndiyo uweze kuamini?[emoji1] [emoji1]
Chizi na wendawazimu kama Kenya ndiyo wanahangaika na GDP, smart countries zinatengeneza ajira, zinazalisha chakula, zinapambana na corruption, zinasambaza maji na umeme vijijini, na kupunguza idadi ya watu wanaoishi katika slums.Sasa ....iyo imeifanya tz kuwa GDP kubwa
Sasa ....iyo imeifanya tz kuwa GDP kubwa
Aya yote yako uko kwenu..ni vile Media zenu zinafutia sana kuihusu kenyaSasa ulitaka hadi na mimi binafsi niende nikanyonye maziwa ya mbwa ndiyo uweze kuamini?[emoji1] [emoji1]
Hakuna media hata moja ya Tanzania inayoandika au kutangaza habari za Kenya, habari zote za Kenya tunazipata toka media zenu, fuatilia quotations zetu, zote zinatoka media za Kenya, zaidi ya uchaguzi wa Kenya, Tanzania hawana kitu cha kufuatilia huko, kwasababh taarifa nyingi za Kenya ni kuhusu mambo mabaya tu, ukabila, insecurity, alshaabab, njaa, rushwa, ajali, na siasa za kikabila.Aya yote yako uko kwenu..ni vile Media zenu zinafutia sana kuihusu kenya
Wanasiasa wenu wanawadanganya kuwa hao ni watzNiambie sifa gani..... Juu wee maembe 2 omba omba wtz wamejaa.Kenya kilacounty
Nipe factsKuna wakenya mitaa yetu walikuja kama waganga wa kienyeji wakitokea mombasa. Wengine washakuwa vichaa na ombaomba.
Jichanganye tu lkn media zenu zina penda sana ubea humu KenyaHakuna media hata moja ya Tanzania inayoandika au kutangaza habari za Kenya, habari zote za Kenya tunazipata toka media zenu, fuatilia quotations zetu, zote zinatoka media za Kenya, zaidi ya uchaguzi wa Kenya, Tanzania hawana kitu cha kufuatilia huko, kwasababh taarifa nyingi za Kenya ni kuhusu mambo mabaya tu, ukabila, insecurity, alshaabab, njaa, rushwa, ajali, na siasa za kikabila.
Facts kama zipi?, kwani hao ombaomba mnaoonuesha kwenye TV kuna facts gani au ushahidi gani kama ni kutoka Tanzania?Nipe facts
Lete ushahidi na ikiwezekana useme ni habari ipi ambayo media za Tanzania inapenda kuifuatilia kuhusu KenyaJichanganye tu lkn media zenu zina penda sana ubea humu Kenya