Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahaahahhaa....ndege zenu zitapaa EA pekee yake....direct flights za USA msahau...mjipe miaka kama 10 hivi...kwa hiyo, American tourists will pass here in Nairobi to connect to those planes...Mungu ibariki tnzania😀😀😀😀
ok lets watch the game and see ila usije nikimbia badae tafadhali sana😀😀😀😀
 
haya ebu niambie mna route zipi... za kwenda marekani, ujerumani, UK mnazo???😀😀😀😀tuelwane hapa...watalii wnu wengi wanatoka nchi hizi...
Ndege zifike kwanza ndio route zipangwe...yani huna unga alafu unawaza mboga?
 
while our frens are still struggling to get their first flyover in the entire country,
i cant even count the number of flyovers in nairobi

tZmo6h6DQlyWSmiSlPcsDA.png

.
p1edcQa0QZectq2EViKikw.png

.

.
7ym2ykniQNObIBr8FSJXpw.png

.

VajCrMfDSHCbzkMiFgJVlA.png

.
DhPnQqRhTWO1aUHBnSSG4Q.png

.
80cXFN4OT36lGZPaQBiHqg.png

.
qQvM7O3CRdaZr72xHsODPg.png

.
QOcvQNBiR6aujqcOPCyr7Q.png

.
Q0TPSZ97R16NhdzykjrqqA.png

.
Xw_9jGIuTlm5IiKRPisFsA.png

.
2Ie4jxv5TqyRlR8OaDZyiw.png

.
NtMHhCjsQG6uOOBDKNit7Q.png

.
VnSpyFi0SfW6qXSKiCU1nQ.png

.
SDdswTAYSz2NTXQzVqSmnA.png

.
o62GwxNzSrilTspol3B1ig.png

.
Bq9ThGuBSMG1Pkp1Ic915Q.png

.
HT0NCaVhSMC6sMOI1ivBvQ.png

We hujui maana ya flyover.
 
mm nimekaa kenya ndugu ushidani wa mitandao wa simu kenya hakuna 😀😀😀😀
maoni yako tu😀😀😀unless you bring data...kwanza baada ya Raila kuhamasisha wafuasi waache kutumia safaricom unafaa kuwa hapa ili uone vile Airtel waliuza sim card...data usitoe matakoni kaka😀😀😀😀
 
Ndege zifike kwanza ndio route zipangwe...yani huna unga alafu unawaza mboga?
ukewli huo na ndio maana nikakwambia hata ndege zifike leo, watalii wenu bado watapitia Nairobi...tukubaliane kwa hilo sawa?
 
Pwahaahahhaa....ndege zenu zitapaa EA pekee yake....direct flights za USA msahau...mjipe miaka kama 10 hivi...kwa hiyo, American tourists will pass here in Nairobi to connect to those planes...Mungu ibariki tnzania😀😀😀😀
Wewe ndio umesema lakin as long utalii uko hapa na ndege itakuepo sasa tuliza izo mihemko
 
maoni yako tu😀😀😀unless you bring data...kwanza baada ya Raila kuhamasisha wafuasi waache kutumia safaricom unafaa kuwa hapa ili uone vile Airtel waliuza sim card...data usitoe matakoni kaka😀😀😀😀
heheh huo ni ukabila sasa😀😀😀😀
but infact tanzania kuna ushindani mkali sana tena sana wa mitandao ya sim kama huyu halotel ndio kaja kuharibu kabisa anawakimbiza mbaya
 
ukewli huo na ndio maana nikakwambia hata ndege zifike leo, watalii wenu bado watapitia Nairobi...tukubaliane kwa hilo sawa?
sasa Air tanzania iende na kq iende yani mtu anakuja serengeti apande KQ 😀😀😀 hata kama ni wewe, simple logic bro
 
heheh huo ni ukabila sasa😀😀😀😀
but infact tanzania kuna ushindani mkali sana tena sana wa mitandao ya sim kama huyu halotel ndio kaja kuharibu kabisa anawakimbiza mbaya
halotel ndio mnyama upi sasa bro?😀😀😀ebu tuwache jokes
 
sasa Air tanzania iende na kq iende yani mtu anakuja serengeti apande KQ 😀😀😀 hata kama ni wewe, simple logic bro
ndege watapanda KQ kutoka New York kisha wapande ndege za tz hapa Nairobi...mbona hulewi simple logic bro?
 
Back
Top Bottom