Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nil...
usiwe huelewi. ..kabla hatujamaliza huu mwaka ndegezitakua zimefika na kuanza kazi...wakat tunasubiri pinaccle 2075 itakua imeisha
Hahahaha...hizo ndege hazina umuhimu wowote wakati hamna direct flights kwenda tourist destinations kama USA...usifikiri mtalii kutoka Marekani atapanda ndege kwenda kuunganishia Dubai ndio aje Dar ilhali ana option ya kupitia Nairobi....kwa hivyo, ndege yes mmenunua ila direct flights hamna😀😀😀😀....watalii watapitia Nairobi tu mpende msipende😀😀😀
 
watapita vp mtu anatoka europe aache kupanda KLM inakuja mpaka kilimanjaro direct apande KQ huu siutakua uwendawazimu😀😀😀😀
sawa hao ni wa kutoka Europe...what abt USA???😀😀😀kumbuka market yenu kubwa ya watalii ni Europe na USA...
 
muda upi? pengine nikuulize, tanzania ina direct flights kwenda USA, UK, Germany???? 😀😀😀😀 sisi tunazo na watalii watapitia tu nairobi mpende msipende...

nakutaarifu ujue kwamba muda wa kula kwa jirani umekwisha.unadhani itachukua miaka mingapi kuchukua hiyo route ukizingatia kinachowaleta EA kipo tz.
 
good work
Shukrani...
btw mwaka huu tuaongeza MNF tower 30 Flr ×2 mwaka huu uje kwenye 5*hotel downtown Dsm
MZIZIMA towers 37flr, 33flr hizi ni nyumba zinaoffice ,makazi na shopping spaces, migahawa na kadhalika ni mwaka huu...bila kusahau PPF tower 53flr nadhan ukihesabu unaweza jikadiria jinsi mnapumulia machine mwaka huu . ..

Nakumbusha tuu ndege zaja mwaka huu n JNIA terminal 3 itaanza kutumika mwaka huu....karibu sana Dar
 
sawa hao ni wa kutoka Europe...what abt USA???😀😀😀kumbuka market yenu kubwa ya watalii ni europe na USA
USA hamujaanza kwenda bro usitukane mamba mto hujavuka flight yenu ya kwanza ni october kumbuka october Air tanzania itakua na 787 kwa ajili ya safari za china europe na america😀😀😀😀
 
Shukrani...
btw mwaka huu tuaongeza MNF tower 30 Flr ×2 mwaka huu uje kwenye 5*hotel downtown Dsm
MZIZIMA towers 37flr, 33flr hizi ni nyumba zinaoffice ,makazi na shopping spaces, migahawa na kadhalika ni mwaka huu...bila kusahau PPF tower 53flr nadhan ukihesabu unaweza jikadiria jinsi mnapumulia machine mwaka huu . ..

Nakumbusha tuu ndege zaja mwaka huu n JNIA terminal 3 itaanza kutumika mwaka huu....karibu sana Dar
dirct flights brathe....kama hamna direct flights hizo ndege ni bure tu...zitakuwa zinapaa EA tu...
 
USA hamujaanza kwenda bro usitukane mamba mto hujavuka flight yenu ya kwanza ni october kumbuka october Air tanzania itakua na 787 kwa ajili ya safari za china europe na america😀😀😀😀
watu washaanza kununua tiketi pole sana bro😀😀😀....October si mbali ndugu...tumesubiri hizo dirct flights tangu 2010...miaka saba...
 
orange nao mtandao au unasindikiza tu😀😀😀
safaricom hana mpinzani kenya
kwani unafikiri natumia mtandao upi sasa hivi😀😀😀....natumia mitandao ya Orange na Safaricom...wakati mwingine natumia Airtel...sema tu Safaricom ndio bei ghali ila mitandao kama Airtel ni cheap...
 
watu washaanza kununua tiketi pole sana bro😀😀😀....October si mbali ndugu...tumesubiri hizo dirct flights tangu 2010...miaka saba...
kununua ticket sio kwenda bro tofautisha hapo safari ni hatua, october Air tanzania itakua na ndege za kwenda nje kumbuka 😛😛
 
Sasa kati ya route na ndege ni kipi huanza??usiwe kama huelewi
haya ebu niambie mna route zipi... za kwenda marekani, ujerumani, UK mnazo???😀😀😀😀tuelwane hapa...watalii wnu wengi wanatoka nchi hizi...
 
kwani unafikiri natumia mtandao upi sasa hivi😀😀😀....natumia mitandao ya Orange na Safaricom...wakati mwingine natumia Airtel...sema tu Safaricom ndio bei ghali ila mitandao kama Airtel ni cheap...
wanakua cheap kwasababu hawana wateja hehe😀😀
ushidani wa mtandao kenya hakuna

njoo tanzania uone ushindani wa mitandao ya sim
 
kununua ticket sio kwenda bro tofautisha hapo safari ni hatua, october Air tanzania itakua na ndege za kwenda nje kumbuka 😛😛
Pwahaahahhaa....ndege zenu zitapaa EA pekee yake....direct flights za USA msahau...mjipe miaka kama 10 hivi...kwa hiyo, American tourists will pass here in Nairobi to connect to those planes...Mungu ibariki tnzania😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom