Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukisema neno cbd ndio inafanana ivo au zaidi and never less...
55f210b3dac1bf6a1769f54c32a3fae1.jpg
 
Nyinyi mna mafuta?
Yapo mengi mara kibao kupita ya kwenu bt tumeyachunia ili tumalizane na gas yetu ambayo bado tunajenga vituo vyake ili ifunction in its full capacity baada ya hapo ndio tutahamia kwa mafuta yetu ziwa nyasa kulee..si hatukurupuki tunaenda one step at another hatuna haraka anko
 
Outering is 8 lane and elevated i wonder how some morons celebrate 2 lane flyover......
 
Sometime u act smart but end up dumb. Those are at least 20km dual carriageway.
Aliyekuambia zetu ni za mita kumi ni nani? Thika road peke yake ni 40 kilometres na Waiyaki Way nayo ni 50 kilometres wewe unaongea mambo ya 20 kilometres! Hakuna kitu Dar inazidi Nairobi isipokuwa ya brt.
 
Laughable....mwenzio anasema ya 50km ndio inajengwa!
 
Back
Top Bottom