Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Laughable....mwenzio anasema ya 50km ndio inajengwa!
Haha wacha nicheke tu,nimegundua kua hamna ata serious flyover Ata moja...sasa mnaanza catch mkiona tumekua serious kwenye ujenzi na kwa taarifa yenu Ubungo interchange and tazara ni mwanzo tu...BRT pekee haitoshi kuwamaliza tumeanza na highway ambayo ni 100 km. ..Nyie Ni wetu tu lazima mshike adabu
 
sawa wacha tuziite daraja basi ila flyover zipo pia na kuna hio ya JKIA mpaka Rironi ambayo ni 50Km...tunaiita express highway
Nairobi hakuna flyovers ni barabara zilizojazwa udongo kupita kiasi zikashikizwa na matofali ili zisiporomoke (no concrete pillars) na vispot vidogo vidogo vya madaraja, huu ndio ukweli mchungu
 
Wakati mnaringa na 4 lane sisi tuko na 8 lane na hata hatuongei. Mnatia aibu sana
Ipi? Nashangaa hadi leo bado Hamna flyover ,natoa marks kwenye thika highway ,Mmejenga vidaraja vya meter 20 ndio mkahisi mmemaliza??BRT ambayo Hamna mwaka huu tunaendelea phase 2...manake barabara zote ambazo BRT itapita lazima zipate flyover ...mnatia huruma sana....
Na barabara za kuzunguka mji ziko kila mahali Dar Ni kubwa sana
 
Nimezitembelea sana N4, N12 hapo Johannesburg na Pretoria.

Wakenya waaache kuonesha vituko hapa
Yeah iyo spaghett junction nadhan iko Pretoria. ...Niligundua sa upande wa barabara wamezidi nchi nyingi za ulaya ya magharibi
 
c432092ffdc83df57f51531d5f8af2bd.jpg

Arrest and deport them home to Tanzania to be rehabilitated!
 
15 floors! yani unajigamba na zakayo hapa ndani? You can do better kijana
Ulifaa uelewe ziko wap,Mikocheni ni tofaut na kule k'nyama, Upanga ,Posta, Kkoo Au maeneo mengine makubwa ya jiji

Ni mradi mkubwa kwa eneo la Mikocheni and usikariri lazima majengo yawe Marefu sana ndio yawemazuri au vp,
Iyo project inamall kubwa kwa chini na apartment za kutosha kabisa na za viwango
 
Back
Top Bottom