Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante...kwanza mi napenda weather baridi baridi vile kwani huwa na sweat sana...inabidi nitumie AC nyumbani...naja subiri
Unachukua nyumba beach au ukakae kwenye hills, Goba, Kimara, Mbezi, Salasala.. sio lazima ubanane huko town, kwanza serikali imehamia Dodoma.
 
i think even you know I am right...look, its great that you are building those things but it is embarrassing kujigamba gamba kana kwamba hivi ni vitu ambavyo havipo duniani...third world mentality😀😀😀 hivi vitu vipo kila mahali Nairobi ndio maana nashangaa sana
hakuna kitu kipo nairobi dar hakuna ila vipo vitu dar vipo nairobi hakuna hu ndio ukweli bro😀😀😀
 
Walipeni wazungu sasa😀😀😀
Nchi inanuka madeni mpaka kwenye makalio

374CE85F-63C7-4655-9208-0F8F6E3E1FC9.jpeg
 
Interesting to see morons yap at a mere flyover,While Nakuru is coming up with a massive one,.......and outside Nairobi hohoho,LDC mna viroja
modern flyovers mtaziskia kwenye radio endeleeni kupanga matofali i wonder why vitu vyenu viko very locally na munatumia alot of money in projects 😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom