joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Tofauti kubwa kati ya Tanzania na Kenya ni kwamba, Kenya mnapenda sana sifa zisizo na faida, hivyo mnakimbilia vitu visivyokuwa na faida katika nchi yenu ili mradi vinasikika katika vyombo vya habari.even Lupita just launched a superhero movie...Black panther...
![]()
![]()
![]()
Tanzania inashughulikia zaidi vitu vyenye kuleta unafuu wa maisha ya wananchi wa kawaida kwanza japo sio mambo yenye kuonekana na kusikika ktk vyombo vya habari.Tanzania haina matatizo ya msingi kama, rushwa, njaa, upatikanaji wa maji, ajira, usalama wa raia, ukabila, umeme, barabara, afya na huduma zingine za msingi, Kenya yote haya ni tatizo lakini mnafurahia michezo na mambo mengine yasiyo na msaada kwa wananchi.