Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

cooked economy😀😀😀😀 maana mumezoea kudanganya hamkujua kama munadanganya nafsi zenu sasa leo deni limefika 60% of ur GDP danganyeni na hio sasa😛😛😛😛😛 niliskitika niliposkia mumefkia hatua ya kukopa loan ilipe debt munaingiza nchi kwenye double interest rate alaf munasema muna uchumi labda neno economy limepoteza maana yake

World bank and imf has its team of experts in every corner of the world...............You hardly beat Kenya in roads...airports.. housing...education....industries.....middle class yet still live in denial . ....why can't you be like your Ugandan neighbours and give yourselves a break instead of chasing your own shadows.
 
mwaka jana 2017. Mbona hampendi ukweli watanzania? Sisi hakuna mahali tumekataa kwamba hatuna changamoto ya chakula hadi tukasema mahindi tulinunua as far as mexico and Brazil. Mbona nyinyi mnajiona kama taifa ambalo halina kasoro? Kama mko na shida ya chakula si hoja coz that's a global problem, more so in developing countries.Yafaa mkubali tu kwamba ni shida lakini mnashugulikia muwezavyo. This habit of living in denial ni mbaya.
sio kwenye chakula, nchi yoyote duniani inayoendelea haiwez kufkia hatua chakula ikawa ni tatizo sugu lisilokua. na tiba, saudi arabia ni jangwa lakin huwez kuskia njaa ni tatizo, ukiona nchi imeshindwa kupambana na njaa kwa lugha nyepes inaitwa failed state
 
cooked economy😀😀😀😀 maana mumezoea kudanganya hamkujua kama munadanganya nafsi zenu sasa leo deni limefika 60% of ur GDP danganyeni na hio sasa😛😛😛😛😛 niliskitika niliposkia mumefkia hatua ya kukopa loan ilipe debt munaingiza nchi kwenye double interest rate alaf munasema muna uchumi labda neno economy limepoteza maana yake
Ndio maana nimekuambia unipe hiyo link ya uncooked economy na ukashindwa. Sasa si unyamaze tu coz ni dhahiri kwamba hauelewi wala kujua unachosema. Ungekuwa unajua unachosema ungeleta hapa hiyo link fumaluze hii story. Hata ile ya port of Dar pia ulihepa tu hivyo. Unachangia mada kutumia hisia sana kijana
 
sio kwenye chakula, nchi yoyote duniani inayoendelea haiwez kufkia hatua chakula ikawa ni tatizo sugu lisilokua. na tiba, saudi arabia ni jangwa lakin huwez kuskia njaa ni tatizo, ukiona nchi imeshindwa kupambana na njaa kwa lugha nyepes inaitwa failed state

this theory ya food crisis has been your source of consolation . ....you have coined a non existent food narrative to atleast hold on to this thread after realising you are cornered on all fronts........eeww ...
 
World bank and imf has its team of experts in every corner of the world...............You hardly beat Kenya in roads...airports.. housing...education....industries.....middle class yet still live in denial . ....why can't you be like your Ugandan neighbours and give yourselves a break instead of chasing your own shadows.
sikutegemea ungeongea kwa jazba hvo😀😀😀

uongo ni sehemu ya maisha ya kila mkenya ndio maana mupo radhi kuonekana umevaa vzr wakat sumu ya umaskini na njaa inawaua ndani ndani

niliwah kiskia nyimbo moja ikisema, mwimbaji anasema hapendi kitu cha kuiba kisichoisha hamu yake😀😀

ndio maana leo munahangaika kila kitu kizuri cha tanzania munasema kipo kwenu yani mudanganye dunia wakat dunia ya leo utamdanganya nani😛😛

tanzania ilipogundua gas mlikimbia nje na kusema gas iko kenya ili muwe mawakala walipokuja investors kwenu mukategemea kuwaleta huku ili muwe wakala kumbe tuliwashtukia kitambo tukatia lock😀😀
kama tulivotia lock kwenye tanzanite
 
World bank and imf has its team of experts in every corner of the world...............You hardly beat Kenya in roads...airports.. housing...education....industries.....middle class yet still live in denial . ....why can't you be like your Ugandan neighbours and give yourselves a break instead of chasing your own shadows.
You know nothing on those areas, Tanzania is far ahead on many if not all those parameters you have mentioned above, get up-to-date data za mwaka 2017 utashangaa. Wakati mnapigana kutokana na ukabila, siasa za kijinga zisizokwisha, na corruption iliyokithiri, sisi tunajenga nchi kwa kasi sana, lete data za 2017 kama hutochanganyikiwa.
 
the new terminal 3, the modern and high tech terminal building in east and central africa....
it will have capability of handle any aircraft in the world especially Airbus A380 super jumbo
8E3664FF-13BC-4789-8907-32B6A5AC5C74.jpeg
 
You know nothing on those areas, Tanzania is far ahead on many if not all those parameters you have mentioned above, get up-to-date data za mwaka 2017 utashangaa. Wakati mnapigana kutokana na ukabila, siasa za kijinga zisizokwisha, na corruption iliyokithiri, sisi tunajenga nchi kwa kasi sana, lete data za 2017 kama hutochanganyikiwa.
Hebu tuletee hizo up-to-date data tuone.
 
ukweli gani wakat tanzania inflation is 4% huku kenya inflation is over 11% sasa hapo kuna ukweli gani😀😀😀😀 unakua kama sio msomi
We are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?
 
mm nafkiri hujui inflation inaletwa na nini 😀😀

na hujui kwann inflation kenya is over 11% soma kwanza bro alaf uje tuendelee
 
Wewe uliposema ulikua unatumia data zipi na za mwaka gani?
I am not the one who said that. But since you are privy to these up-to-date data, I was just requesting that you give us the links to the same
 
We are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?
kwa kukusaidia elimu ya bure😀😀😀 inflation kenya is high because of hunger, njaa ni ugonjwa mbaya sana

83EDC549-3662-4919-9BE0-6CA58CCA85CC.jpeg

alaf munasema muna uchumi, where is economy to control inflation😀😀😀😀 18.56% serious
47CAD676-EC59-49DA-83C4-0E64E4C8D4C4.jpeg
 
We are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?
Wewe ndiyo hujui unachozungumza, hapa Africa na nchi zinazoendelea kwa ujumla, chakula ndiyo factor kubwa inayosababisha inflation kupanda au kushuka, kama chakula kinapatikana kwa wingi, basi inflation inashuka, kama kuna upungufu wa chakula na bei za vyakula hazidhibitiwi, inflation inaongezeka. Mfano ni hapo Kenya, baada ya serikali kutoa ruzuku katika mahindi ya Mexico, inflation ilishuka kwa kasi sana, sasa hivi inflation inaongezeka kwa sababu serikali imesimamisha kutoa ruzuku.
 
Back
Top Bottom