Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The photo above have 3 (20+flrs towers) which are 2 Morocco square towers and Avic , two 30+towers (millenium towers 2 and PPF HQ 35 Flrs) you are comparng with that photo by calling them dwarf towers? we clearly know which are dwarf towers 😀😀😀😀😀
Morocco is trying but Kilimani is hot as fuk ....reality is painful but morocco can't match kilimani or even ngara/Eastleigh
 
If you failed to correct Issac Rutto's nose, how could you treat bullets wounds?, no wonder Lisu decided to go to Belgium, stupid Kenyans.
When he was shot didn't he know Belgium exists? Why did he choose Kenya over Belgium? Feelings peleka mbagala
 
When he was shot didn't he know Belgium exists? Why did he choose Kenya over Belgium? Feelings peleka mbagala
Akili za Tundu Lissu na Jubilee zinafanana sana, uliza Jubilee kwanini wanamkamata Miguna Miguna na kufungia TV stations zilizotangaza lakini Raila aliyejiapisha hawamkamati, wakikupa jibu ndiyo jibu la swali lako kuhusu Lissu.
 
hapa nilipo najua hata mda ulioenda haja kubwa leo... na pia najua mda utakaoenda haja kubwa kesho.
Endeleeni kufatilia maswala ya Kenya. Mgetumia hiyo energy yote na time kujenga uchumu wenu uwe thabiti na kujinasua kutoka kwenye lile pipa la ldc
 
Akili za Tundu Lissu na Jubilee zinafanana sana, uliza Jubilee kwanini wanamkamata Miguna Miguna na kufungia TV stations zilizotangaza lakini Raila aliyejiapisha hawamkamati, wakikupa jibu ndiyo jibu la swali lako kuhusu Lissu.
Hahahaha...acha tu nicheke. Kwa hivyo alivyoenda Belgium akili yake iliwacha kufanana na jubilee? Na hizi akili ambazo hufanana ziko na shape au rangi gani
 
We don't farm LDC, GDP or lower middle income on our land, what we plant is food, what we harvest is food, what we eat is food, what you request from us is food, what makes your people to day every day is lack of food, what makes your children to suck dog milk is hunger because they don't get enough food.
You think you live in the Garden of Eden? Kweli nyani haoni kundule. I know you guys hate facts but just take a minute and read this. As always, your government denied the report
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
 
Morocco is trying but Kilimani is hot as fuk ....reality is painful but morocco can't match kilimani or even ngara/Eastleigh
wewe unawazimu kichwani mwako😀😀😀
tazama hii picha kwa umakini sio kwa waswas
87470160-EDAC-4C66-9B29-630CDD2A41FB.jpeg
 
You think you live in the Garden of Eden? Kweli nyani haoni kundule. I know you guys hate facts but just take a minute and read this. As always, your government denied the report
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
Sasa itawezekana vipi tuwe na watu wasiopata chakula at the same time tunauza chakulakwa nchi kumi za Africa?, tatizo litakua sio chakula, hatuna upungufu wa chakula, Tanzania ni food backup ya nchi nyingi za Africa.
 
kwani toka mmetoka huko,mmefanikiwa kiasi gani kuikimbia njaa???
sio njaa tu kuna slums, unemployment, maji hakuna nairobi mwaka mzima sasa, tribalism inakula nyama zao, pia wamefanikiwa kufkisha debt to GDP ratio 60%, etc😀😀😀😀😀😀
 
Lile bandiko la GDB ndio lilikurestisha muda wote saivi ndio umepata nguvu ya kupost lugha zisizoeleweka?

Exposure is so expensive to the most of you plus ignorance especially you karumekenge
Unasema nyinyi ni LDC ama?
 
Sasa itawezekana vipi tuwe na watu wasiopata chakula at the same time tunauza chakulakwa nchi kumi za Africa?, tatizo litakua sio chakula, hatuna upungufu wa chakula, Tanzania ni food backup ya nchi nyingi za Africa.
Ndio maana nimesema hapo juu kwamba hamupendi ukweli. You are so fast to dismiss the survey wakati nyinyi kila siku mnaleta links kuonyesha vile kenya kuna njaa. Mbona hii sasa hamkubaliani nayo? Mtaishi in denial hadi lini wenzetu??
 
sio njaa tu kuna slums, unemployment, maji hakuna nairobi mwaka mzima sasa, tribalism inakula nyama zao, pia wamefanikiwa kufkisha debt to GDP ratio 60%, etc😀😀😀😀😀😀
Na bado mkashindwa kuwafikia kweli nyinyi vilaza wa kuzaliwa hamuwezi saidika hata na sindano zote kuwaingia.
 
How has it expired wakati bado mmekwama pale? Siku mtatoka pale ndio huo wimbo ita expire
Nyie mbona mmetoka lakini bado Njaa inawachapa Mtoto wako anakunywa maziwa ya Mbwa? ?Au ni mtoto wa Maskini mwingine wa kenya na siyo Maskini ww??
 
Back
Top Bottom