ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
alijua sisi ni wa nigeria wa nairaland😀😀😀Budaaaaa umezngua Budaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huyo kuzingua ni kawaida sana mzoee
alijua sisi ni wa nigeria wa nairaland😀😀😀Budaaaaa umezngua Budaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeitoa hapa hiyo picha. Wacha matusi
Our Services • Elite Logistics & Development Services Limited
Contacts hizi hapa: +2347088554119
Company is:
![]()
Country is Nigeria

picha wacha blah blah😀😀😀😀concrete poles niliziona kisii county mara ya kwanza around 2010/2011...kisii-kericho road
Nashangaa nao majamaa ...concrete ni kitu tumezoeaconcrete poles niliziona kisii county mara ya kwanza around 2010/2011...kisii-kericho road
Da kanichekesha sana jamaa niko mwenyewe nacheka tualijua sisi ni wa nigeria wa nairaland😀😀😀
huyo kuzingua ni kawaida sana mzoee
Pitia na hapa:Nashangaa nao majamaa ...concrete ni kitu tumezoea
Kwenda uko....picha ya 2010?????....mwarabu mjingapicha wacha blah blah😀😀😀😀
Congrats for the slowest bullet train
annael najua hutumii kilevi, unataka aina gani ya juice, zile imported au zinazotengenezwa na viwanda vya ndani.... agiza tu boss nitakuja kulipa.Wewe huna exposure ndugu kubali
Hapa Tanzania kuna viwanda kabisa vya kutengeneza hizo nguzo
![]()
![]()
![]()
BAGAMOYO KWANZA BLOG: WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA KIWANDA CHA NGUZO ZA UMEME BAGAMOYO.
![]()
![]()
Unakubali kiaina![]()
Dah yani ukininunulia mananasi, embe na caroti itakuwa vizuri. Si unajua sisi tunatengeneza home juice!!annael najua hutumii kilevi, unataka aina gani juice, zile imported au zinazotengenezwa na viwanda vya ndani.... agiza tu boss nitakuja kulipa.
Zidini kupika data
Bona unaigiza njeveJiheshimu we ndugu sio kila mtu humu mtoto humu ...staarabika tafadhal
blah blah waachia manzi leta ushahidi hapa 😀😀Kwenda uko....picha ya 2010?????....mwarabu mjinga
Jamaaa ana wivu....Hongereni Kwa kurusha chupa ya maji safi angani
NB:Angalieni trump asije akaisikia tukaambualia aibu tena si unajua maumivu ya shthole hayajaisha![]()
endelea kuumia taratibu😀😀😀😀Congrats for the slowest bullet train