ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
twende tuekeeni majengo manne zenye 20 floors tuendelee mbona maneno mengi sana weweWewe umeshindwa mchuano. Kila kitu unalia. Nimekushinda metres ukalia twende floors. Floors zenyewe bado unalia. Funny thing hiyo wikipedia unayoiponda ndiyo unayoitumia kuclaim Nairobi haina majengo. Kwani Wikipedia inakuwa tu yakijinga inapoweka Nairobi mbele ya Dar ilhali ikiweka Dar mbele inakuwa credible? Acha kulialia twende kazi.
