Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BTW ugandan officials wako mjini, there will be an extension from tanzania to uganda also, meaning you can travel from kampala to morogoro non stop which isnt possible when you cross mathare you have to stop at the border and board a new train


View: https://youtu.be/eb9iukL1SN8
 
si ndo maaana nmekwambia we kazi yako kuropoka na kukimbia data, mpaka leo data za mauzo ya gold tanzania na kenya hujaleta lakini mdomo mrefu kama bakery kila sehem
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikuletee data za mauzo ya gold ikiwa unajua tanzania ni rich in gold na bado ni nchi maskini ya 6 duniani
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikuletee data za mauzo ya gold ikiwa unajua tanzania ni rich in gold na bado ni nchi maskini ya 6 duniani
acha kupindisha mdomo, ulisema tanzania ina surplus kwa kuuza gold t, nkakuletea data za east africa nzima then nkakwambia ebu tuonyeshe data sehem tanzania na kenya wanauziana Gold ukakimbia, and btw zilete kama unazo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikuletee data za mauzo ya gold ikiwa unajua tanzania ni rich in gold na bado ni nchi maskini ya 6 duniani
BTW kwan kua na gold ndo nn 😂 😂 alafu nchi ya 6 kwa umaskini uliiweka wewe kwenye hio namba labda 😂😂😂 we ni mropokaji huna cha maaana , tumekupuuza tu bakery yako irudi usije kuzima njaa
1793964598281.png
 
Back
Top Bottom