Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunakipindi tiwagesi allituletea article aliyojitengenezea pale kibera kuwa Tanzania imeomba benki za kenya mkopo ili ijenge sgr kwani Gok haiwezi kukopa benki zao imalizie vipande vya kuelekea malaba
waliomba mkopo and you know what the answer was "we cant fund a train to nowhere"
 
Kwani Chvayo si ndio investor ama kimebadilika kitu? Nifahamisheni maana sikuwepo EA kwa muda kidogo😁
JKIA is being funded by National Infrastructure fund.

Mark you it will be the second biggest airport in Africa after ya Ethiopia.
 
JKIA, hizi ni nini tena, si mngechukua hata sculptors kutoka TZ
 
Aiseee hawa nyangau wanadanganywa kirahisi sana yaani overnight number ya wanywaji imeongezeka with justifications hewa dah haya sasa tuone increase in tax collection maana lazima i corroborate hiyo story ya tutam.
😂 😂 wanakunywa tu maziwa hawali kingine
 
Back
Top Bottom