Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,903
- 34,641
Ichoboy ni Mtanzania mwenzetu, wewe ni nani kwake?
Unashoboka kwake wakati anachopost kipo kwenyu mara kumi yake!
Ila machawa wa kaongo!
View: https://x.com/kenyans/status/2118214735212765338
Huwezi kujadili maana unajua una uwezo mdogo wa kufikiri.
View: https://twitter.com/user/status/2118248692322841029
Tena yeye sio mhindi?😂😂🤣