ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,960
- 89,183
haa! haa! Nimecheka kwa sauti,nice and interesting brazahahahah nimekuskia mkenya au kwa jina jingine nyoka wa kibisaππππππ
sisi tulishakaa na watu kama nyie ndio maana hamutupi shida wewe sio mkenya wakwanza ku act humu wamepita wenzio na id wakazifutaπππ
hii ndio real estate from world bank 3b usd
ndugu mkenya hii sio ile tz ya 90s
View attachment 685433
Nimekusikia pumpkin headAcha kushobokea nchi za watu idiot
Ni kawaida yenu sana hamkubali ukweli. Hilo "jiji" lenu ni slums left right and center. Leta picha ya kibera sasa kama ilivyo kawaida yenu
sio mm ni dunia ndio inajua hvoπππ
https://www.habitatforhumanity.org....argest-slums-dharavi-kibera-khayelitsha-neza/
//borgenproject.org/5-largest-slums-world/
Karachi's Orangi Town named largest slum in the world - The Express Tribune
dar huwez ikuta hata top 100 slums in the world huikuti munaishi maisha hata nguruwe hawez kuishi alaf munataka msiongoze dunia kua na slums za ajabu zinazotisha duniani, yani muna worse slums in the world in my life sijawah kuona wallah dah
So Ichoboy you cleared trees in Dar to create this thing below!? SMH. Najua utasema hiyo ni Dar ya 90'sView attachment 685426
Sum nujoma roadAta hapo Dar imepigwa bao na Arusha.
hakuna highway nzuri hivyo Dar
Mwanzo kabisa nilikuambia kwamba, hapa ni jukwaa la wasomi unatakiwa utoe reliable evidences, na wasomi wote wanajua jinsi ya kutoa reliable evidences"citation", kama hujui kutoa reliable evidences badala yake unaleta maneno matupu, rudi kule kwenye jukwaa la Kilimani daddy and mum kunakufaa zaidi.Evidence zipi zaidi ya hizi hizi mnaziweka humu wenyewe,mfano kwenye tarmac road ke@15,000km,Tz@7600km,,38 companies za Kenya wamewekeza Tz na ndo investor mkubwa nyuma ya UK,China,SA,USA .All these takwimu mnazipost wenyewe hata picha za infrastructure zimejaa humu afu ulitembea utaona uhalisia wenyewe
Ila battle iendee tu kujifariji inanisaidia kupata habari za kinachoendelea sehemu ambayo sina access nazo
Hiyo IPO ilala boma,swali lako lingemake sense kama jengo lusingekuwa dar
Any building like this outside Nai guys???
Naongea kutoka kwenye yr own evidence,pitia posts ikiwemo zako utapata marudio ya nn tena ww msomi unless hutaki kuelewaMwanzo kabisa nilikuambia kwamba, hapa ni jukwaa la wasomi unatakiwa utoe reliable evidences, na wasomi wote wanajua jinsi ya kutoa reliable evidences"citation", kama hujui kutoa reliable evidences badala yake unaleta maneno matupu, rudi kule kwenye jukwaa la Kilimani daddy and mum kunakufaa zaidi.
Acha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resources unaochagizwa na mfumo mbaya wa utawala
Angalia wenzako wanavyofanya, acha kuwa mvivu, kila unapokuja na hoja lazima ulete evidence hata kama ilishatolewa ushahidi huko nyuma, ni mara ngapi hapa picha zimerudiwa ili kutumika kama ushahidi, mbona hawasemi rudia picha za nyuma kama ushahidi?.Naongea kutoka kwenye yr own evidence,pitia posts ikiwemo zako utapata marudio ya nn tena ww msomi unless hutaki kuelewa
Sorry for this
Acha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resources unaochagizwa na mfumo mbaya wa utawala
unajibu kama raia wa kenya uliyejificha tanzania au unajibu kama mkenya-mtanzania?Hiyo IPO ilala boma,swali lako lingemake sense kama jengo lusingekuwa dar
Pumkin head mama yako mzazi.Nimekusikia pumpkin head
Eti sum nujoma!! Hujui hatainavyotamkwaSum nujoma road
I'm not talking about neither Exchange nor wealth, I'm talking about good heart.. Hao wakina Ruto na Wenzake ni wezi tu na wanatoa kulingana na utajiri wao, magufuli anatoa right from his Salary na kwa moyo mmoja, huyo msanii alioneshwa kwenye Tv, yeye direct akampigia simu na akawatuma Wasaidizi wake wampelekee hiyo hela..15 million ata haifiki 1 million Kes infact its 750k ....ruto kwa fund raisings anachezea 10 million ama 5 million.....huyu magu hana doo
utacheka sana safari hii mkenyaππππhaa! haa! Nimecheka kwa sauti,nice and interesting braza
niletee top 100 biggest slum in the world unioneshe dar naisubiriaππππππDar iko kwa list ya slum cities
vumilia ndio ukweli ulivoππππDar nayo ni slum city...kama tu kinshasa