Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
Ivi ni ile 600mil barrel against 6 . 5barrel ya Uganda ambayo inapita Tanzaniapipeline tunajenga pia bana...mafuta yetu lazima tuanze kuuza
Ivi ni ile 600mil barrel against 6 . 5barrel ya Uganda ambayo inapita Tanzaniapipeline tunajenga pia bana...mafuta yetu lazima tuanze kuuza
Hakuna aliewah waomba mtumie kisw ,what can I say, use the language you are most conversant with...Kiswahili huwa tunajaribu ili kuelewana nanyi LDC haswaa kwasababu tukiamua ni kuandika Kiingereza kama kule Quora na Twitter mtabaki mmezubaa na kutunduwaa😀😀
Iyo c uko dar![]()
Nyumba kama hii ingekuepo Bungoma nnauhakika ungefunguliwa Uzi, wakinadi ni One of the best house in east Africa
Wewe kwani kiswahili ni chenuHakuna aliewah waomba mtumie kisw ,
The fact is everyone Is trying to use them both, Mlijifunza kisw japo hamkitumii sana ofcz mnaongea zaidi mother tongue kuliko kisw /English,
ur making so terrible kisw in here!!
Kwa uelewa wangu tu wa kawaida humu kwenye huu uzi wengi mlisoma hadi vyuo vikuu sion aibu ya kumkosoa mtu au aibu ya kukosolewa nikikosea
Ipo Dar Ndio...Victoria areaIyo c uko dar
Nasubiri SwaliWewe kwani kiswahili ni chenu
Nawatel tz bila dar ni...wajir countyIpo Dar Ndio...Victoria area
Mnaimba na kiswahili namuezifikia wa2 wamombasa kwa kiswahiliNasubiri Swali
Tupaone. ....Nikupe mpinzani wakeNawatel tz bila dar ni...wajir county
Mombasa ya mbele ya banana karibu na Gongolamboto sio?Mnaimba na kiswahili namuezifikia wa2 wamombasa kwa kiswahili
And what do you mean by 'what is that mean'? Na wewe pia jitahidi uandike kiingereza ueleweke.Jitahidi uandike kisw ueleweke,inakaa pikipiki what is that mean?smh
Kwa hivyo unajaribu kusema wewe ni mwenyeji wa Nairobi? peleka uLDC mbali kijanaWewe sikulaumu. Thus why you use YouTube as your search engine instead of Google. Nie ndowatu mliotoka ushago nakujifanya Nairobi mnaijua kuliko wenyeji.
munajenga ikwapi hebu tuoneshe😀😀😀pipeline tunajenga pia bana...mafuta yetu lazima tuanze kuuza
Lol! A Tanzanian telling a kenyan that he (the Kenyan) needs education. Am I the only one who finds this funny? Who between the two should advice the other on matters education? Kama kuna kitu mimi hudharau hii dunia ni education system ya Tanzania. Tanzania hata nipate scholarship siwezi soma huko. Remove the log in your eyes before attempting to remove the peck in your neighbour's eye.Lool, I didn't know you this Lunatic.. Watu siku zote wanaangalia Urahisi, Efficiency and Time Saving. Hii Treni yenu ya 70s doesn't meet majority and Today's world demands. The business will never be favourable. First its Old na very Expensive compared with the Road wakati SGR is meant to be Fast, Cheap and Time saving.. I wonder where's your 2Billion education budget go. You seriously need some education
Hii watapita ni kama hawaoniNi aibu kubishana na watu wakati ya kenya na Ethiopia ndio pekee ishaanza kazi.
JENGENI YENU BY 2020 NDIO MZUNGUMZE..
period
Taarifa ya mwaka jana umeikwamilia 2018 wakati mambo yamebadilika in favor of Kenya. Hakuna cha bure hii dunia kupe nyinyi.where is hoima lokichar pipeline???😀😀😀
hoima wanapitisha bomba lao tanga nyie jengeni ya kwenu 😛😛😛😛😛😛😛 alaf tullow alivo mjanja kaona akijenga pipeline 750km ni loss kwake sasa kaamua kuwazungusha tu
hoima to tanga pipeline ujenzi umeanza asante uncle magu 4b usd aiseee😀😀😀😀😀
Uganda picks Tanzania for oil pipeline
View attachment 684073
View attachment 684074
[HASHTAG]#kisumudala[/HASHTAG]
kisumu city.....![]()