Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jiulize kwanza una pesa ya kununua ndege hzo za kijeshi kutoka ufaransa rafale fighter jets? zaidi tunanunua zile mig 31 prototype za kichina zinaitwa chengdu F7 za bei che

cost ya chengdu ni around 10m usd
rafale fighter jet ni 150m €

ni mbingu na ardhi, yani unamsema mwenzio wakat ww huna ubavu huo 😆😆😆
Hizo ndege zilikuwepo tangu kipindi cha Nyerere na kilichofanyika ni China ilitoa offer ya kuswap 12 old Chengdy J-7 na F-7 na kupewa 14 mpya J-7G na J-7N.

Haikuwa manunuzi. Pia, apart na Tanzania kuonesha baadhi za vifaa vya kijeshi ilivyonunua zamaninkwenye maonesho ya Uhuru, nchi yetu haina itaratibu wa show off.

Hata zile airbus super cougar hazikitangazwa.

It seems to me una something so personal na nchi kwa sasa.
 
kabla ya ww kupayuka nikwambie kua wanyaruanda wenye akili kukuliko wewe walishakaa kufanya tathmini na kuona yana faida kubwa kwao kwa 10yrs deal, sijui kama akili yako iko sawasawa

mchezo wa uchumi unahitaj maarifa mengi sana yenye kujiripua sasa ww usifikiri vitega uchumi kama hvo utavipata bure tu from no where, hata ile wolrd cup iliofanyika marekani unahisi tanzania imetumia pesa ngap kutangaza utalii kwenye zile billboard za newyork times square au unahisi ni bure?

au ww unahisi rio frednand na drogba walikuja bure tanzania? na tumepata faida gani na ujio wake zaidi ya siasa, yani unaingea kama umekatwa shingo mzee😆😆😆😆😆

wewe unasubiri vya bure vije venyewe heheh ndio maana tumechelewa sana

View: https://www.instagram.com/p/DfPT4QiG_wx/?psln=MXY3cjU1NHlubG1lbg==

View: https://www.instagram.com/p/DfO5nl6DjCO/?xtok=ZGhzZHRkMXpiMWw=

There is something called "emotional intelligence" hata wenye akili huwa wanakwama sana hapa mara kwa mara.
A lot of people fail kwenye hizi choices: "what they want" na "what is best for them".

Any damn fool with zero emotional intelligence lacks the necessary mental capacity to keep priorities in proper order.
(Order: 1,2,3,4,5, Disorder: 5,3,1,2,4)
 
Hizo ndege zilikuwepo tangu kipindi cha Nyerere na kilichofanyika ni China ilitoa offer ya kuswap 12 old Chengdy J-7 na F-7 na kupewa 14 mpya J-7G na J-7N.

Haikuwa manunuzi. Pia, apart na Tanzania kuonesha baadhi za vifaa vya kijeshi ilivyonunua zamaninkwenye maonesho ya Uhuru, nchi yetu haina itaratibu wa show off.

Hata zile airbus super cougar hazikitangazwa.

It seems to me una something so personal na nchi kwa sasa.
shida yako ww husomi maelezo ukaelewa nimekwambia chengdu F7 ni copy and paste ya mig21 hata vipimo vyake ni same na mig 21 walichobadilisha wachina ni equipments labda na engine ila kila kitu wameiga kutoka mig 21, soma kwanza maelezo nayotoa vzr alaf ndio uhoji

sasa chengdu utafananisha na rafale fighter jet tena generation 4.5+++ kweli ndege moja ya rafalle unanua ndege 15 za chengdu na change inabakia

respect watu wanaofanya maendeleo hata wakijionesha let them show kwani shida ni nn bro, unaongea kama umekatwa kichwa

hio illyushin 78 unaongelea about 40m usd mzeee😂😂😂😂😂

View: https://x.com/danielsonkassa1/status/2115864709941334298?a=QpjQxnG2qZlvvbWs-3A&s=46
 
kweli nimeamini ww unashida mzee 😂😂😂🙌🏻
 
Hakuna mahala nimekuhoji.

Tanzania haikununua, China walitoa offer ya kuswap 12 J-7 na F-7 na kuwapa mpya J-7G na J-7N 14.

Nashangaa umekuja na mig21.

NB:
Pia, your case reveals a deep-seated contempt for the country, which further accentuates very disturbing realities.
The regime and the country are not one and the same thing. If you have issues with this regime, why are you attacking the country instead of the regime?

It's pretty clear you were not genuinely passionate about our country all along, and something terrible might have happened to you, and now that thing was boiling underneath is slowly coming out; your true colors and who you really are iko.wazi.
 
Hizo ndege zilikuwepo tangu kipindi cha Nyerere na kilichofanyika ni China ilitoa offer ya kuswap 12 old Chengdy J-7 na F-7 na kupewa 14 mpya J-7G na J-7N.

Haikuwa manunuzi. Pia, apart na Tanzania kuonesha baadhi za vifaa vya kijeshi ilivyonunua zamaninkwenye maonesho ya Uhuru, nchi yetu haina itaratibu wa show off.

Hata zile airbus super cougar hazikitangazwa.

It seems to me una something so personal na nchi kwa sasa.
Ignore him. Huyo Mhindi kanyimwa uraia wa Tanzania.
 
kweli nimeamini ww unashida mzee 😂😂😂🙌🏻
Ni kweli nina shida, uko sahihi.😂

Show me a single human under the dun asiye kuwa na shida.
Awe tajiri, maskini, mwenye mamlaka, kapuku, intelligent, kilaza, rais, waziri, chawa; wote iko shida.

Kila mtu anashida.

Ungeanza kwa kukiri shida zako kwanza kabla ya za kwangu.
You are too emotional ndio maana ni rahisi sana kunyoosha vidole na kulaumu wengine kwakua ni mdhaifu sana na huna uwezo wa kufanya self-introspection.
 
Maji na mafuta yameanza kujitenga 🤣 🤣 🤣

1793683369908.png

View: https://x.com/TBoundBuses/status/2117154375659385151
 
Hakuna mahala nimekuhoji.

Tanzania haikununua, China walitoa offer ya kuswap 12 J-7 na F-7 na kuwapa mpya J-7G na J-7N 14.

Nashangaa umekuja na mig21.

NB:
Pia, your case reveals a deep-seated contempt for the country, which further accentuates very disturbing realities.
The regime and the country are not one and the same thing. If you have issues with this regime, why are you attacking the country instead of the regime?

It's pretty clear you were not genuinely passionate about our country all along, and something terrible might have happened to you, and now that thing was boiling underneath is slowly coming out; your true colors and who you really are iko.wazi.
yani ww jamaa unashida sana nani kaongelea mig 21 nimekwambia chegdu F7 ni copy and paste ya mig 21 kwwnye kila kitu mpaka desingn etc na ndio tulizonazo sisi ambayo cost yake ni around 10m usd sasa nakwambia rafale moja ni over 150m € alaf unasema ethiopia wanajionesha vipi ww mzee unataka wasijioneshe ili iweje na ni kitu wamegiza na ni lazma watangaze kwa umma
 
Ni kweli nina shida, uko sahihi.😂

Show me a single human under the dun asiye kuwa na shida.
Awe tajiri, maskini, mwenye mamlaka, kapuku, intelligent, kilaza, rais, waziri, chawa; wote iko shida.

Kila mtu anashida.

Ungeanza kwa kukiri shida zako kwanza kabla ya za kwangu.
You are too emotional ndio maana ni rahisi sana kunyoosha vidole na kulaumu wengine kwakua ni mdhaifu sana na huna uwezo wa kufanya self-introspection.
mimi nimemlaumu nani? au lini nilikuja hapa nikamlaumu mtu, mzee sikuelewi😂
 
Back
Top Bottom