ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,585
- 164,160
hahaha bro let us be serious hata kidogo😂Mwambie aende akamtembelee Lugumi ili ajue Who we are as Tanzania
hahaha bro let us be serious hata kidogo😂Mwambie aende akamtembelee Lugumi ili ajue Who we are as Tanzania
anyway naheshimu maoni yako time will tell wacha tule mtori nyama tutazikuta chiniUnless kama hujui tofauti kati ya kukosoa, kuingelea na kuattack.
anyway naheshimu maoni yako time will tell wacha tule mtori nyama tutazikuta chiniUnless kama hujui tofauti kati ya kukosoa, kuingelea na kuattack.
Yani lazima utaje Kenya? 🤣 🤣 🤣This kind of investment kwa nchi kama Rwanda na Kenya ni ujinga na ufalamanga wa kiwango cha juu sana.
The cost ya hii project ni over $1 billion wakati F1 parent company Liberty Media ndio wanachukua ticket sales and global TV broadcasting rights na all revenue streams, trackside advertising, lucrative VIP Club.
Rwanda wanatarajiwa kutengeneza pesa through indirect microeconomic channels kama hotels, usafiri na influx consumer spending wanao tarajiwa kufika 300 000 kwa weekend moja na hela hii ya spending yao haizidi $100M wakati posibility ya mashindano kurudi tena Rwanda itachukua miaka 5 or more.
Sasa piga hesabu kwa haya mashindano hiyo consumer spending wanayopata Rwanda ya $100M kama all goes well na pia kama wanauwezo wa kupata mashindano haya kila baada ya miaka 4, which isto say, 4 x 9 = 36 years or 5 x 9 = 45 years kama kutakuwa na consistency ya kupata mashinfano haya kila baada ya muda huo na turn out na spending iendane kama hivyo.
Hapo NO PROFIT.
Hakuna investment nyingine yenye kwik ritan, kama sio ufalamanga ni nini?
Cartel Republic,
It’s true Kenya hata Government officials don’t have even emails , such a failed state. No wonder buildings collapses .
Bila aibu wanajilinganisha na Tanzania yenye taasisi zenye meno na Zina fanya kazi kisheria.
View: https://vt.tiktok.com/ZSpe1f14g/
Maji na mafuta yameanza kujitenga 🤣 🤣 🤣
View attachment 3703603
View: https://x.com/TBoundBuses/status/2117154375659385151
unajitoa akili sio 😂Wapi shida hapo? Kenyans wako na right ku question and critic what the government is doing.. can’t say the same for you guys.
Hapo iliyofail ni Kampuni au basi bovu? 🤣 🤣 🤣 Taarifa tunazo, hayo mabasi mmetoa bureYani mnaomba kampuni zenu zifeli kisa wamenunua mabasi kutoka Kenya. 🤣 🤣