President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Tayari yameaanza kukaa. Mwezi haujaishahii ndo alikua anasemaje ichoboy01 😂 😂
Tayari yameaanza kukaa. Mwezi haujaishahii ndo alikua anasemaje ichoboy01 😂 😂
You delusional 😀Democracy, rule of law and respect for human life.
Hamna hizo gari kwa uendeshaji wa bongo zinakula sana bumps hivyo zinapoteza sensor za airbags!mbna kama umepanik 😂😂 kwan ni mara ya kwanza tunasema hayo magari mabovu 😂😂 unapiga body mpaka zinaingia kwenye tairi
Wapi yamekaa Katarama gari zake zote ziko road, God first gari zake zote zipo road, Kaizirege zote zipo road haya hizo zilizokaa zi wapi?Tayari yameaanza kukaa. Mwezi haujaisha
😂😂😂 sjawahi kucheka ivi, kwamba bumbs za bongo ni ndefu sana au 😂😂😂 Higer watasemaje au iriza na youtong 😂😂😂😂😂Hamna hizo gari kwa uendeshaji wa bongo zinakula sana bumps hivyo zinapoteza sensor za airbags!
Hurray to Master Fabricators pitia page yao uone maajabu wanayofanya.
Kuna Tahmeed inafanya safari Mombasa To Dar hiyo VIP haipo bongo yotee
Kama ebola vileTayari yameaanza kukaa. Mwezi haujaisha
You are right about all those things apart from the part where you call me delusional. That word is supposed to refer to you. Let me give you a good example.You delusional 😀
Democracy? Which country are you referring to ? Si ni huko every election there is massive rigging, hundreds of deaths?
Rule of Law, with those abductions? Police brutality, Mass Killings of Gen Z by police? Rule of law and corruption? Mifumo yote ya nchi ya kenya haifanyi kazi ,
Respect to Human Life, Police kills hundreds in whatever demonstrations you have ? Kila uchaguzi lazima mchinjane.
You can lie to anyone else but not to your immediate neighbor anaekujua nje ndani.
give us the figures how many died last year and prove to us 😂 😂 😂 and also how does comparing death lead to democracyYou are right about all those things apart from the part where you call me delusional. That word is supposed to refer to you. Let me give you a good example.
We have hundreds of deaths every election but what you had last year alone is more deaths than what Kenya has had since independence. See the difference?
Kenya has never arrested a presidential aspirant to prevent them from vying in an election. You see the difference?
Yeah, that's the difference. We are not there democratically but we are surrounded by shitholes democratically. If Kenya scores a C- which is a fail, then Tanzania has a straight E.
Irizar ipi iliyotoboa bongo?😂😂😂 sjawahi kucheka ivi, kwamba bumbs za bongo ni ndefu sana au 😂😂😂 Higer watasemaje au iriza na youtong 😂😂😂😂😂
hakuna hata moja 😂😂😂😂😂Mapya yanayoundwa bongo yakowapi?
kwamba ni miongoni wa top 6 majeshi bora duniani au??😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🤣🤣🤣 kwanza nikuulize hamna Rambo mwingine wakupiga picha za propaganda , ni huyu tu
🤣😂😂Sii muwatumie waigizaji wengine basi ndio niogope zaidi...ni hawa Rambo wawili tu all the time...
🤣🤣🔥🇹🇿
View attachment 3703917View attachment 3703918View attachment 3703919View attachment 3703920🤣🤣🤣👇🔥🇹🇿View attachment 3703921View attachment 3703922🤣🤣🤣🔥🇹🇿View attachment 3703926View attachment 3703927View attachment 3703928
kenya mko vzr kwenye katiba na sheria
kudos👍👍👍👍👍👍
View: https://www.instagram.com/p/DfRmxoblj_a/?psln=ZTFncnYzcGk2ZjNn
Katiba ya Kenya ni sawa na verse za masela vijiweni. Katiba na sheria zao hazina msaada wowote ule.🚮
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2116009222668460447?a=UpKurK8BhsEbGSWdtyE&s=20