stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Seems 2017 ulikuwa mtoto huwezi kumbuka.Elewa Swali Naipori mpaka mombasa na ulete evidence hapa hatutaki maneno mingi.
Traveller D anaishi kwa mwanamke.Naskia stakehigh anaishi kwa mama yake 😂😂
mwaiofhawaii hizi si ndo zile kama za KDF 😂
View: https://x.com/DanielsonKassa1/status/2117274276671754421?a=5e6N5lIvsfXQFEkuXfE&s=20
hongereni rwanda once again🙌🏻🙌🏻🙌🏻👍
View: https://www.instagram.com/p/Debd-OICPrf/?exln=eGZkNHpkdHBmZzhv
View: https://www.instagram.com/p/Debfd4QIEwL/?vrfl=MTViaHcxampvb21seA==
View: https://www.instagram.com/p/Deb_U0fDXC9/?srtk=Y3lmaXl6N25rM2V0
View: https://www.instagram.com/reel/DecKvgxsOqg/?obrf=dWMwdW96bWh6Nmcw
View: https://www.instagram.com/p/DectHR7gg6b/?xtok=Ym1pbGxvMWVid2pt
View: https://www.instagram.com/p/Deg1lfQDkb0/?exln=MTduNXJ1ejJpYTFhaw==
kabla ya ww kupayuka nikwambie kua wanyaruanda wenye akili kukuliko wewe walishakaa kufanya tathmini na kuona yana faida kubwa kwao kwa 10yrs deal, sijui kama akili yako iko sawasawaThis kind of investment kwa nchi kama Rwanda na Kenya ni ujinga na ufalamanga wa kiwango cha juu sana.
The cost ya hii project ni over $1 billion wakati F1 parent company Liberty Media ndio wanachukua ticket sales and global TV broadcasting rights na all revenue streams, trackside advertising, lucrative VIP Club.
Rwanda wanatarajiwa kutengeneza pesa through indirect microeconomic channels kama hotels, usafiri na influx consumer spending wanao tarajiwa kufika 300 000 kwa weekend moja na hela hii ya spending yao haizidi $100M wakati posibility ya mashindano kurudi tena Rwanda itachukua miaka 5 or more.
Sasa piga hesabu kwa haya mashindano hiyo consumer spending wanayopata Rwanda ya $100M kama all goes well na pia kama wanauwezo wa kupata mashindano haya kila baada ya miaka 4, which isto say, 4 x 9 = 36 years or 5 x 9 = 45 years kama kutakuwa na consistency ya kupata mashinfano haya kila baada ya muda huo na turn out na spending iendane kama hivyo.
Hapo NO PROFIT.
Hakuna investment nyingine yenye kwik ritan, kama sio ufalamanga ni nini?
jiulize kwanza una pesa ya kununua ndege hzo za kijeshi kutoka ufaransa rafale fighter jets? zaidi tunanunua zile mig 31 prototype za kichina zinaitwa chengdu F7 za bei cheUkiachia Tanzania, the rest nchi ni watu wa kelele mno.
Kila wanalo fanya lazima liende mtandaoni na majigambo ya kila aina.