stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,765
- 40,092
jibu swali na ukimaliza kujibu, tupe figures kati ya tz na kenya nani anaingiza dollars nyingi kushinda mwingine kuanzia kwenye trade, tourism na FDIkabla hujaangalia ya mwenzako jikague wewe uko kwenye njia sahihi? 5 yrs unazungumza over 51 trillion wakat nchi hii toka imepata uhuru 1961 mpaka 2021 yani 60 good years tanzania imekopa 59 trillion