This investment will benefit Kenyans in terms of taxes and employment and this Arab owner. Tanzania will not benefit from this deal.
😅😅😅😆😆😆Kisumu has a well planned CBD, industrial area, market area and a residential area, najua hujui anything about zoning laws ju your cities are not planned, munajenga tu kama panya.
Tanzania tulishatoka huko. South Sudan ndio wanaongelea mambo haya.
Hiyo budget ya 750m iko wapi?sasa matusi ndio yatasaidia kuwarudisha nyuma? sisi tumebakia uchawa wa kusifia upuuzi tu all the time, tunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia 😂😂
ivi mnaskia hii pundana mmiliki ni mkenya isipokua ana asili ya kutoka tanga ila ni mkenya kiraia
tulijua tu lazima utakua punda 🤣 🤣 🤣bmw wataekeza vp na mazingira wezeshi ni mabovu, rushwa na ufisadi umetamalaki, bmw ikiwekeza tanzania itaitwa bmw from tanzania kama tunavoita under licence toyota from kenya and south africa.
ameajiri wakenya? 🤣 🤣 🤣 🤣 akishalipa kodi hujui hio hela inarudi nje ya nchi 🤣🤣🤣 analipa kodi na pesa yako wewe alafu anaiconvert kwenda dolla kurudisha kwao 🤣🤣🤣yani awe singer singer awe nani but investment iko kenya na imeajiri wakenya wengi sana na wanalipa kodi kenya na wanatuuzia bus sisi tuliolala na kuendekeza uchawa
huo mradi au mnapoteza mda, watu wanajenga airport mpya nyie mnaongeza ofisi chakavu
$40k ni mil 85????sasa matusi ndio yatasaidia kuwarudisha nyuma? sisi tumebakia uchawa wa kusifia upuuzi tu all the time, tunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia 😂😂
kwamba uliambiwa tunamsupport apate hela zaidi ya tuliotumia? 🤣 🤣 🤣 🤣 bora umehamia madhare kwa akili za kipundatunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia 😂😂 uchawa tu ndio kazi iliobakia
alafu amnaga kitu kama international investment, wale wanaweka ela wanataka ela yao irudi 🤣 🤣 mtu anawekeza mfano kwenye hoteli, hajaja pale kudonate ela amekuja kufanya biashara ela yake irudi arudishe kwao, ambayo hio hela ilitakiwa ibaki apa apa, sasa usione kama kuita wawekezaji ni sifa sana bi mdadabmw wataekeza vp na mazingira wezeshi ni mabovu, rushwa na ufisadi umetamalaki, bmw ikiwekeza tanzania itaitwa bmw from tanzania kama tunavoita under licence toyota from kenya and south africa.