Lengo kuu la elimu ni kuweza kumtengeneza binadamu aweze kuondokana primitivity, kumbuka binadamu ni mnyama kama wanyama wengine, ni elimu pekee ndiyo inayomtofautisha kati ya binadamu na simba, sifa kubwa ya wanyama wa porini ni kushindwa kuishi pamoja, kila kabila linaeneo lake hawachanganyiki na kabila lengine, hivyo ndivyo ilivyo Kenya.
Kenya elimu inawasaidiaje kama bado mnaendelea na
1)Ukabila
2)Mnauana kama wanyama, police killings is the highest in Africa
3)Mnashindwa kujitosheleza kwa chakula, mnategemea food donations
4) Mamilioni ya wakenya wanaishi katika slums, hata wanyama hawawezi kuishi katika mabanda ya Kibera, elimu gani unashindwa kutoa ufumbuzi wa tatizo dogo kama hilo.
5)Unemployment ni kubwa kuliko nchi zote za EA, elimu gani watu wanashindwa kujiajiri?