joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Endelea kuimba GDP za makaratasi wakati njaa inaendelea kuwaua, unemployment inasababisha day light crime in Nairobi, Nairobi maji ya kunywa ni shida, deni la Taifa linatishia nchi kufilisika. Endelea na kuimba GDP na ukistika bullet train inaanza safari za Dar - KigaliKenya GDP (2017)-$70B
Tanzania GDP (2017)-$47B
GAP-$23B
Kenya GDP (2022)-$120B
Tanzania GDP (2022)-$79B
GAP-$41B
😀😀😀😀
