Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkishaona kibera mnakua na insha zakujitekenya kwelikwel
Nilikwambia mwananchi wa Kibera anatengeneza hela kukushida we we hapo mkaazi wa LDC😀😀😀😀bei ya bidhaa na ardhi tu ndio iko juu otherwise angekuwa yupo Dar angekuwa sasa hivi na nyumba....jinsi ardhi ilivyo bei rahisi kama peremende😀😀😀
 
Showing pictures of kibera won't and will never change the fact that that glorified village you call a city is poorly planned. Kibera is a very small of Nairobi and outside kibera, the city is well-planned and organized. I bet Nairobi's eastland area is well-planned than your upmarket estates of Dar like masaki and mnezi
Watu million 2+ wanawezaje ishi apo kibera, very simple question is if kibera is that small as u said earlier ,why kibera is still existing?why can't you just upgrades and make it gud as eastland, Westland or karen? ?
 
Outsourcing for non-core but essential services is among the best industry practices my friend. Sio ajabu hizo bombadier zenu will routinely be serviced outside Tz
hahahah mbona awali mlikua hampeleki nje kufanyia service??? kupeleka service nje ni kupeleka ajira nje mumeshindwa ku maintain kwasababu pesa hamuna na kampuni inahemea ICU usitafute sababu zisizokua na maana😀😀😀😀😀😀 kubaliana na ukweli japo mchungu
 
hehe ongea kama mtu mwenye elimu bro unaposema growth imeshuka maana yake ina impact moja kwa moja kwenye uchumi, so did u expect growth will decline??
or did u expect inflation will hit over 11% au we ulijua kenya itashikwa na njaa namna hii😀😀😀😀
kwanza, inflation haijafika asilimia 10...Pili, nimekwambia hakuna elections tena mpaka 2022...kila mtu anajua kuwa elections in kenya normally have a negative impact on the economy...Tatu, ukame wa 2017 haukukusudiwa....kwa hivyo tea exports went down..yaani rahisi kama 1 plus 1 mbona huelewi mwarabu?😀😀😀
 
uchumi haujashuka bro...growth ndio imeshuka ila uchumi wa 2016 sio ule wa 2017...umeongezeka ila kwa kiasi kidogo kuliko projections za awali..na sababu yake kubwa ni drought na elections...it has affected tea exports and trade...2018 hamna elections wala drought so standby😀😀😀😀moshi lazima munywe
Uchumi wa kutegemea mauzo ya chai nao ni uchumi hv ?smh
 
NB: nawahakikishia kuwa tz haitawahi kuwa nyanja moja na Kenya...thats free advice😀😀😀
 
kwanza, inflation haijafika asilimia 10...Pili, nimekwambia hakuna elections tena mpaka 2022...kila mtu anajua kuwa elections in kenya normally have a negative impact on the economy...Tatu, ukame wa 2017 haukukusudiwa....kwa hivyo tea exports went down..yaani rahisi kama 1 plus 1 mbona huelewi mwarabu?😀😀😀
siunaona bro hujui hata kama inflation kenya ime hit 10% ikiwa mambo yenu ya ndani hamuyajui ya nje je???
usisingizie elections njaa na inflation zimewakamata hata kabla ya uchaguzi, uchaguzi sio sababu kabisa
 
uchumi haujashuka bro...growth ndio imeshuka ila uchumi wa 2016 sio ule wa 2017...umeongezeka ila kwa kiasi kidogo kuliko projections za awali..na sababu yake kubwa ni drought na elections...it has affected tea exports and trade...2018 hamna elections wala drought so standby😀😀😀😀moshi lazima munywe
Acha kujitetea uchumi wenu haupo stable, upepo kidogo tu uchumi wenu unatetereka, mbona sisi tulipofanya uchaguzi 2015 uchumi haukutetereka?, mbona Uganda na Rwanda walipofanya uchaguzi uchumi haukuyumba, au ninyi pekee ndiyo mnaofanya uchaguzi Africa nzima?

Kuhusu ukame, nchi zote za EA na kusini mwa Sahara ziliathirika kwa ukame, utakumbuka serikali ya Tanzania ililazimika kuzuia chakula kusafirishwa nje ya nchi ili kukabiliana na athari za ukame, kwanini kila kitu unadhani ni Kenya pekee ndiyo inamatatizo?, ukweli ni kwamba sera zenu za ubepari ndizo zinafanya uchumi wenu kuwa very unstable, bepari akiona hatengenezi faida, au kunatishio lolote anasimamisha uzalishaji bila kujali maslahi ya taifa.
 
Uchumi wa kutegemea mauzo ya chai nao ni uchumi hv ?smh
we huwa kama punguani vile...chai ndio top export...ila Kenya inategemea nyanja mbali mbali wala si chai pekee....umesahau tourism, industry, services and regional hub status...tumia akili angalau...umesahau Kenya ndio top exporter of flowers? umesahau kahawa?
 
siunaona bro hujui hata kama inflation kenya ime hit 10% ikiwa mambo yenu ya ndani hamuyajui ya nje je???
usisingizie elections njaa na inflation zimewakamata hata kabla ya uchaguzi, uchaguzi sio sababu kabisa
tulia bas usipandwe na pressure kaka😀😀😀....lakini nakuhakikishia kuwa tz haitawahi kuwa nyanja moja na Kenya...thats free advice😀😀😀
 
Westlands or 'westy' as we call it
6406.jpg
6404.jpg
6405.jpg
 
Kwahiyo kusoma kwa kiingereza ndiyo ujanja?, stupid kama wewe hajawahi tokea hapa East Africa, hujatoka nje ya Kibera ndiyo sababu, nchi zote zilizoendelea na zinazoendelea kwa kasi, masomo yote hufundisha kwa kutumia lugha za taifa za nchi zao, wapumbavu kama ninyi wenye akili za kitumwa ndiyo mnang'ang'ana na kiingereza kika sehemu, hovyo kabisa ninyi.

You cannot teach other people's innovations in your native language and expect to excel! That's where you went wrong and still doing it. You do so by either domesticating those technologies for homegrown solutions or simply teach in the universally accepted language for quick adoptions and acceleration of modern advancements! I hope your govt already knows this and it's on the verge of doing it right
 
Nilikwambia mwananchi wa Kibera anatengeneza hela kukushida we we hapo mkaazi wa LDC😀😀😀😀bei ya bidhaa na ardhi tu ndio iko juu otherwise angekuwa yupo Dar angekuwa sasa hivi na nyumba....jinsi ardhi ilivyo bei rahisi kama peremende😀😀😀
Haha jipe Moyo kijana, lakin ukwel ni kwamba yale mabanda Ni rahisi sana hayana tofaut na nyumba za tembe up country
 
Husema kwamba kibera ni ndogo, I've heard there ar 2M people living in ,Khaaa what I know 2M ni watu wa mji mzima kama mwanza sasa Ilo eneo dogo lakuweza beba watu million 2 Au labda Wakenya uongo umezidi. ...kibera ina hadi centre"kibera town centre" Kumbe ni manispaa bana
Weka 5 milion ama hata 10 million kuridhisha nafsi yako. The good thing is that you said "I've heard" lakini haujaona. Nyinyi ndo wale mnaojifanya mnajua Nairobi in and out wakati mnaisoma kwenye makaratasi, kusikia redioni na kuona kwenye TV. Mtazidi kuumia sana kuhusu Nairobi
 
ebu watanzania nitafsirie neno hili binomial nomenclature kwa Kiswahili...naskia kwenu huwa mnafunzwa mpaka biology na Chemistry kwa Kiswahili...
 
Back
Top Bottom