Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani. Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.
Kenya hadi sasa reli yao imetokomea porini huko haijulikani lini inaendelezwa.
Africa, sio mashariki na kati tu.
 
Nimepost picha kibao humu ndugu .. yangu hiyo hapo 👇🏾View attachment 3688629nilikwambia mnuka mavi kwamba hakuna mtu unaemtisha humu. 😂😂😂

Kijana, kwani how bad is your inferiority complex? Mbona kila mara unalia humu eti sikutishi. Wee mwenyewe umeniambia nipost picha yangu nikiwa stadium sasa inakuaje vitisho tena? 😂😂
 
Nakuona unajipa umuhimu usiokua nao . 😂😂😂 unajipambanua kinoma. Kila ukipigwa kichapo unakimbilia personal attack. Sasa sijui ni wewe au mimi mwenye ako na inferiority complex.

Mana kimsingi tulikua tunajadili kuhusu uzuri wa viwanja lakini ghafla unajisifia kuona viwanja, you went even far baada ya reaction yangu ukadai ati “fake it untill you make it “ .. sasa mimi ni fake kuingia kwa stadium.? Like seriously.? 😂😂😂.

Have to let you know that wewe ni mkundu tu, hakuna mtu unaemtisha humu, if you think you do.
 
Have to let you that wewe ni mkundu tu, hakuna mtu unaemtisha humu, if you think you do.
Picha please … wacha story mingi 😂😂😂😂
Put up or shut up ..😆😆
 
Nakuona unajipa umuhimu usiokua nao . 😂😂😂 unajipambanua kinoma. Kila ukipigwa kichapo unakimbilia personal attack. Sasa sijui ni wewe au mimi mwenye ako na inferiority complex.

Mana kimsingi tulikua tunajadili kuhusu uzuri wa viwanja lakini ghafla unajisifia kuona viwanja, you went even far baada ya reaction yangu ukadai ati “fake it untill you make it “ .. sasa mimi ni fake kuingia kwa stadium.? Like seriously.? 😂😂😂.

Have to let you know that wewe ni mkundu tu, hakuna mtu unaemtisha humu, if you think you do.
Ametoa maoni yake kuhusu Fumba Stadium, ukasema unajua ni uwanja gani mzuri kuliko mwingine, akakuuliza unajuaje kama hujawahi fika hapo. Maana yake ni kwamba sisi wote tumejifunza kuhusu hivi viwanja kupitia mitandaoni, lakini yeye ameongeza uzoefu wa kutembelea baadhi ya viwanja hivyo na kujionea kwa macho. Common sense dictates that he has more knowledge about these stadiums than you do. Sasa wewe unageukaje unasema opinion yake haina maana kwa sababu unajua viwanja kuliko yeye, halafu unaanza kulia kwamba ameku-attack? Make it make sense!
 
We jamaa unachekesha sana. Chanika ni pembezoni mwa mji. Kwahiyo wewe ulitaka sehemu zote zijengwe kwa wakati mmoja!? Embu tumia akili kidogo mkubwa wewe sio mtutu.
Wewe na wanyamwezi wenzako ndio watumie akili wakati mkijitamba ukubwa wa Dar ambayo thuluthi moja ni mashamba
 
Nakuona unajipa umuhimu usiokua nao . 😂😂😂 unajipambanua kinoma. Kila ukipigwa kichapo unakimbilia personal attack. Sasa sijui ni wewe au mimi mwenye ako na inferiority complex.

Mana kimsingi tulikua tunajadili kuhusu uzuri wa viwanja lakini ghafla unajisifia kuona viwanja, you went even far baada ya reaction yangu ukadai ati “fake it untill you make it “ .. sasa mimi ni fake kuingia kwa stadium.? Like seriously.? 😂😂😂.

Have to let you know that wewe ni mkundu tu, hakuna mtu unaemtisha humu, if you think you do.
Wewe huwa unaanza kuwa personal alafu unalia. 😂😂
Umesema sikutishi na sio mara ya kwanza. Kila siku kwa majadiliano unalia sikutishi. That is a sign of inferiority complex, not an attack. When you always feel like unadharauliwa hata ukiulizwa tu swali la logic hiyo ni inferiority complex.
 
Ametoa maoni yake kuhusu Fumba Stadium, ukasema unajua ni uwanja gani mzuri kuliko mwingine, akakuuliza unajuaje kama hujawahi fika hapo. Maana yake ni kwamba sisi wote tumejifunza kuhusu hivi viwanja kupitia mitandaoni, lakini yeye ameongeza uzoefu wa kutembelea baadhi ya viwanja hivyo na kujionea kwa macho. Common sense dictates that he has more knowledge about these stadiums than you do. Sasa wewe unageukaje unasema opinion yake haina maana kwa sababu unajua viwanja kuliko yeye, halafu unaanza kulia kwamba ameku-attack? Make it make sense!
nimekwambia mimi sikutaki wewe. Mbona unafosi mapenzi.? 😂😂😂

Unamtetea mnuka mavi mwenzako kwasababu nimembananisha.? Mimi nilizungumza habari za kufika uwanjani.? Au ni yeye ndio alieleta huo upuzi.?

Kujua ubora wa uwanja ni mpaka awe amefika kwenye huo uwanja.? Have ever been to Talanta stadium.? If not, then why are you here defending it.?

Wanuka mavi mnasapotiabaga kwenye upumbavu. 😂😂😂
 
Ametoa maoni yake kuhusu Fumba Stadium, ukasema unajua ni uwanja gani mzuri kuliko mwingine, akakuuliza unajuaje kama hujawahi fika hapo. Maana yake ni kwamba sisi wote tumejifunza kuhusu hivi viwanja kupitia mitandaoni, lakini yeye ameongeza uzoefu wa kutembelea baadhi ya viwanja hivyo na kujionea kwa macho. Common sense dictates that he has more knowledge about these stadiums than you do. Sasa wewe unageukaje unasema opinion yake haina maana kwa sababu unajua viwanja kuliko yeye, halafu unaanza kulia kwamba ameku-attack? Make it make sense!
Komora karibu zanzibar
 
Always a looser !.. you can’t even afford a ticket to your own stadium… keep faking shit through life .. that’s all you got…🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️😆😆😆
Wenzako wameshuhudia picha niliopost sasa unalazimisha na wewe uione.? 😂😂😂. Mnuka mavi mbeba box US.?
 
Back
Top Bottom