Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe jua tu Bongolala ndiyo nchi pekee, duniani kote, yenye watu zaidi ya milioni 70+ ambayo haijafika 100B usd. Hata DRC with all the wars wako mbele yenu.
We maku gdp ni ungese tu,kwa gdp tulio nayo TZ kamwe haijawahi kukopa ilipe mishahara ya watumishi wa umma,TZ haijawahi kukopa ili ilipe madeni,TZ juzi tu tumemaliza mradi wa nyerere hydropower kwa pesa zetu wenyewe hatujakopa hata dala,tuna mradi wa BRT phase 3 na 4 unaendelea,SGR soon inafika mwanza,kunyan hiyo gdp yenu inawasaidia nini zaidi ya kufake magonjwa ili mpate pesa za WHO 🖕🖕
 
1000026262.jpg
1000026263.jpg
1000026264.jpg
1000026265.jpg
1000026266.jpg
1000026268.jpg
1000026272.jpg
1000026271.jpg
 
Back
Top Bottom