Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.

Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani. Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.
Kenya hadi sasa reli yao imetokomea porini huko haijulikani lini inaendelezwa.
 
Bro picha zingine usilete. Naona kama sio sawa aisee. Lete tu kuonesha slums basi. Ila picha za hunger and famine kama hizi hapana ni sawa na dhihaka usilete kaka.
Wewe mgeni hapa. Hii ni vita haichagui silaha. Kama unahuruma nenda kwenye forum ya mapenzi. Hapa tuachie wanaume.
 
Hii ni Isiolo kabisa.
Kiukweli sioni tofauti.😂😂😂
486409.jpg
 
This is not a tournament idiot😂😂.

The only serious tournament your country has hosted is CHAN. Hiyo Kitu unatuonyesha is just fixture just like any other fixture, Kwanza ni fixture ya one leg😂😂🤣
Hii ni tournament MATAKO WEWE hii ni CAF SUPER LEAGUE nje na Cafcl na cafcc. Hiyo tournament ilikua hosted nchi mbili kama sijakosea. Ikiwemo na Tanzania.
 
Kulikuwa na haja ya kunitusi we shoga?

Unplanned settlements ni nini? Slums ni nini? Shoga kweli wewe na babako
Onhoo kumbe we shoga!? Kuwa shoga wewe haimaanishi na wenzako mashoga. Aya tuliza kikata kimba hiko.

Unplanned settlements ni makazi ambayo yamejegwa pasi na mpangilio kiasi kuathiri baadhi ya miundombinu. Ila huduma za kijamii zote zipo umeme,maji,hospitali,huduma za maji taka.
Slums ni makazi duni ambayo yanakosa huduma zote za kijamii na yanakosa miundombinu muhimu kama maji,umeme,mfumo wa maji taka n.k.
Embu nioneshe sehemu yeyote Kibera slums yenye nyumba ya tofali,barabara ya mtaa iliyonyooka,mfumo wa maji taka,huduma ya maji safi. Nioneshe!??
Ulipotaja kote huko Vingunguti,Buguruni huduma muhimu zote zipo.
 
SGR ya Kenya ni ya hadhi ya chini ni sawa na reli yetu ya Mgr ya zamani.
Yani MGR ya Tanzania uifananishe na SGR ya kenya?
Yani reli yao ni jointed rail inatikisika kinyama. Sio sawa na yetu continous welded. Pili Tanzania ndio imejenga kilometa nyingi za reli ya SGR kuliko nchi yeyote hapa Afrika Mashariki na kati. Weewee tutakubabua sasa unaongea tu na sio facts tena.
Kenya hadi sasa reli yao imetokomea porini huko haijulikani lini inaendelezwa.
Sijui hata kwanini na reply upumbavu wako

View: https://youtu.be/Y4gjcOJ9Xqk?si=zsNcklVznF2BHxzl

View: https://youtu.be/_5vjfJym7yo?si=9cXCq1bUTbvWGotj

Reli tanzania hainaa
 
Onhoo kumbe we shoga!? Kuwa shoga wewe haimaanishi na wenzako mashoga. Aya tuliza kikata kimba hiko.
🖕
Unplanned settlements ni makazi ambayo yamejegwa pasi na mpangilio kiasi kuathiri baadhi ya miundombinu. Ila huduma za kijamii zote zipo
Kwa mnyamani, vingunguti, buguruni yooote kuna miundombinu gani?
umeme,maji,hospitali,huduma za maji taka.
Slums ni makazi duni ambayo yanakosa huduma zote za kijamii na yanakosa miundombinu muhimu kama maji,umeme,mfumo wa maji taka n.k.
Kwa mnyamani na vingunguti kuna mfumo wa maji taka we Lofa? Ile harufu kalii ukitoka airport hutoka wapi?
Embu nioneshe sehemu yeyote Kibera slums yenye nyumba ya tofali,barabara ya mtaa iliyonyooka,mfumo wa maji taka,huduma ya maji safi. Nioneshe!??
Ulipotaja kote huko Vingunguti,Buguruni huduma muhimu zote zipo.
200251.jpg
200249.jpg

Hii ni Kibera affordable housing iko na 15k units
 
🖕

Kwa mnyamani, vingunguti, buguruni yooote kuna miundombinu gani?

Kwa mnyamani na vingunguti kuna mfumo wa maji taka we Lofa? Ile harufu kalii ukitoka airport hutoka wapi?

View attachment 3688367View attachment 3688368
Hii ni Kibera affordable housing iko na 15k units
images-11.jpg
Screenshot_20250413-143719.png
Screenshot_20250517_073228_Firefox.jpg

maku hiyo mitaa uliyoitaja huwezi kukuta nyumba za bati uchafu kama huko kwenu mngese ww 🖕🖕
 
Back
Top Bottom